HaddyPro Professional Audio

HaddyPro Professional Audio We are dealing with hiring and selling Professional Sound systems for both Small, Mid, and Big sized events. Contact us today

We have professional personnel who will make sure your event runs smoothly in terms of Audio and Lighting.

How do you know the Kid? Let's find out tomorrow at Mlimani City.    Live Showcase by  | Jan 28.______________  on Backl...
27/01/2023

How do you know the Kid?
Let's find out tomorrow at Mlimani City. Live Showcase by | Jan 28.
______________
on Backline 🔥

  Band katika Stage, Siku ya jana kwenye Uzinduzi wa Studio ya Mpya ya Kufanyia Mazoezi, Sinza Mori_____________Mawasili...
11/12/2022

Band katika Stage, Siku ya jana kwenye Uzinduzi wa Studio ya Mpya ya Kufanyia Mazoezi, Sinza Mori
_____________
Mawasiliano;
Simu/whatsapp: +255 715 707 707
Eneo: Sinza Mori, Dar es Salaam, Tanzania.
_____________

 Inakuletea Kongamano la Muziki na Uimbaji Taifa litakalofanyika kuanzia Tarehe 14 hadi 18 Novemba 2022 Eneo la Chuo Cha...
14/11/2022

Inakuletea Kongamano la Muziki na Uimbaji Taifa litakalofanyika kuanzia Tarehe 14 hadi 18 Novemba 2022 Eneo la Chuo Cha Biblia CBC Dododma.
______________
FIKA BILA KUKOSA
______________
Haddypro Co Ltd Tutakuwepo kwenye Backline, PA na Light
______________

 Inakuletea Kongamano la Muziki na Uimbaji Taifa Litakalofanyika kuanzia Tarehe 14 hadi 18 Novemba 2022 Eneo la Chuo Cha...
14/11/2022

Inakuletea Kongamano la Muziki na Uimbaji Taifa Litakalofanyika kuanzia Tarehe 14 hadi 18 Novemba 2022 Eneo la Chuo Cha Biblia CBC Dododma.
______________
FIKA BILA KUKOSA
______________
Haddypro Co Ltd Tutakuwepo kwenye Backline, PA na Light
______________

 presents Holy Spirit Initiated Light for Life "HILL"  A Live Music Concert   Starting 08:00pm - 05:00am at Viwanja vya ...
10/11/2022

presents Holy Spirit Initiated Light for Life "HILL" A Live Music Concert Starting 08:00pm - 05:00am at Viwanja vya Shule ya K/Ndege-Fire.
______________
Haddypro Co Ltd we are supplying Backline and PA
______________

Kampuni ya Haddypro inatoa salamu za pole kwa kampuni ya Precision Air iliyopata ajali katika Ziwa Victoria, Mkoani Kage...
07/11/2022

Kampuni ya Haddypro inatoa salamu za pole kwa kampuni ya Precision Air iliyopata ajali katika Ziwa Victoria, Mkoani Kagera.

Tunatoa pole kwa watu wote warioathirika na ajali hii. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe, Pia tunawaombea majeruhi wote wapone haraka.
_____________
Imetolewa na Utawala,
Haddypro Company Limited.

Tunashukuru kuhudumia Tamasha la uzinduzi wa albam ya   ya  iliyofanyika Nov 5 katika ukumbi wa Johari Rotana.__________...
07/11/2022

Tunashukuru kuhudumia Tamasha la uzinduzi wa albam ya ya iliyofanyika Nov 5 katika ukumbi wa Johari Rotana.
______________
Haddypro Co Ltd tulitoa huduma ya Backline na PA, Na tungependa kupata mrejesho wa kuboresha huduma zetu.
______________

Picha za Tamasha  la uzinduzi wa Albam ya   ya  iliyofanyika Nov 5 katika ukumbi wa Johari Rotana.______________Haddypro...
07/11/2022

Picha za Tamasha la uzinduzi wa Albam ya ya iliyofanyika Nov 5 katika ukumbi wa Johari Rotana.
______________
Haddypro Co Ltd kwenye Backline na PA 🔥
______________

LEO   Tutakuwepo pale Johari Rotana Kwenye Uzinduzi Albam ya   ya  ______________Haddypro Co Ltd kwenye Backline na PA 🔥...
05/11/2022

LEO Tutakuwepo pale Johari Rotana Kwenye Uzinduzi Albam ya ya
______________
Haddypro Co Ltd kwenye Backline na PA 🔥
______________

Tunashukuru Kuwa sehemu ya Kuhudumia Tamasha la A Calm Storm lililoandaliwa na  na kufanyika Tarehe   katika ukumbi wa S...
05/11/2022

Tunashukuru Kuwa sehemu ya Kuhudumia Tamasha la A Calm Storm lililoandaliwa na na kufanyika Tarehe katika ukumbi wa Silver Star Hall.
______________
Haddypro Co Ltd Tulitoa huduma ya Lighting na Backline. Na tungependa kupokea maoni ya huduma zetu.
______________
______________

Pichani ni  ,  &   wakitoa Burudani katika Tamasha la A Calm Storm Lilofanyika   katika ukumbi wa Silver Star Hall._____...
04/11/2022

Pichani ni , & wakitoa Burudani katika Tamasha la A Calm Storm Lilofanyika katika ukumbi wa Silver Star Hall.
______________
Tamasha limeletwa kwenu na
______________
Haddypro Co Ltd kwenye Light na Backline 🔥
______________

Pichani ni  ,  wakitoa Burudani katika Tamasha la A Calm Storm Lilofanyika   katika ukumbi wa Silver Star Hall._________...
04/11/2022

Pichani ni , wakitoa Burudani katika Tamasha la A Calm Storm Lilofanyika katika ukumbi wa Silver Star Hall.
______________
Tamasha limeletwa kwenu na
______________
Haddypro Co Ltd kwenye Light na Backline 🔥
______________

Address

Tabata Kinyerezi
Kinyerezi

Telephone

+255674510573

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HaddyPro Professional Audio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share