Evodistory

Evodistory HUJAKOSEA KUCHAGUA EVODYSTORY� FOLLOW EVODYSTORY

Usishangae, rayvanny alisema ety x na Bea yye anachagua bia duu ujinga huo, hivi x akikutaka ten huwa amekuja na mipango...
21/12/2023

Usishangae, rayvanny alisema ety x na Bea yye anachagua bia duu ujinga huo, hivi x akikutaka ten huwa amekuja na mipango mipya ya kukulizisha, et x na Bea
Wachagua nni😱. Namlalua dea x bana Sina utana na shimo ohoo😅

Jumapili njema wanafb 🤝🤝🌹🙏
08/10/2023

Jumapili njema wanafb
🤝🤝🌹🙏

Mapenzi ni kitu gani kwani, ety jaman nini maana ya mapenzi 🙉🙏
07/10/2023

Mapenzi ni kitu gani kwani, ety jaman nini maana ya mapenzi 🙉🙏

Tuendelee na smlizi zet wada auTel mee
16/10/2022

Tuendelee na smlizi zet wada au

Tel mee

🙏🙏🙏👌
20/09/2022

🙏🙏🙏👌

Kijana  waMpangoFollowMe
13/09/2022

Kijana

wa
Mpango

Follow
Me

I'm................
19/08/2022

I'm................

TULIPOiSHIA WIKI ILIYOPITA"nakuomba umheshimu mama sana rahma, nadhani utaweza kufanya hivo pia duka la dawa lile naliac...
02/08/2022

TULIPOiSHIA WIKI ILIYOPITA"

nakuomba umheshimu mama sana rahma, nadhani utaweza kufanya hivo pia duka la dawa lile naliacha mikononi mwako litunze lidhamini lijali K**a nilivokuwa nakupenda mimi naenda tutaonana miaka mitatu badae.........................

...............Sasa SONGA NAYO


******************************************************** masumbuko, alipoyasikia maneno hayo, alishusha pumzi kwa kasi sana, kisha machozi yakaanza kumtoka* hakuishia hapo alikwenda moja kwa moja hadi kifuani kwa dk,hamisi na kumkumbatia....................................
Kiujumla siku hiyo ilikuwa siku ya kilio kwa kijana masumbuko, maana asingepata kujaliwa K**a alivyojaliwa na dk,hamisi, alijua kabisa hakuna aliyempenda k**a alivyopendwa na dk,hamisi:(baba kweli kabisa uko siliazi unaondoka dah!!)) Masumbuko, uvumilivu ulimwishia akajikuta haamini K**a kweli dk hamisi anaondoka,:(masumbuko niko siliazi kabisa, wala Sina wasiwasi wowote juu yako nakuamini sana kijana wangu, mama rahmaah!
)).....dk,hamisi aliita kwa sauti sana, bila kusta wala kuchelewa mama rahma alitoka chumbani mwake huku akiwa ameshikilia kibegi kidogo mkononi mwake,, iliashilia dk, hamisi safali tayali safali yake imeiva kisawa sawa..............hazikupita hata dakika chache tayali mlinzi alikuwa nyuma ya dk,hamisi, huku safali ya kuelekea ndani ya gali ikianza mala moja,.....................!hamsoni hakikisha unailinda familiar yangu, ikitokea shida yeyote ndani ya nyumba ebu usiste kunijulisha mala moja, nakwenda pia nikiwa nakuamini kisawasawa nitaludi baada ya miaka mitatu badae🎅.................ulikuwa ni usia wa dk, hamisi, baada ya kufika uwanja wa ndege jijini dar salaam, baada usia huo mzee hamisi alijivuta mdogomdogo hadi ndani ya ndege,,,,................... hamsoni ambaye ndiye mlinze wa jengo la dk,hamisi, alipoweza kuona kweli mze hamisi ameondoka aliludi ndani ya gali aina ya delux, alipohakikisha amefinga kila kitu, aliegamia usukani kisha akaanza*************************
***************************Sio masumbuko wala mke wa dk, hamisi wote waliachwa na vilio Tena visivyojulikana vitakwisha mdaa gani
!ilikuwa kazi kwa kijana masumbuko kuamini k**a kweli dk,hamisi ameondoka, ilifika wakati
anajiambia mwenyewe, masumbuko acha mawazo bwana upo kwenye ndoto ukiamka utamkuta dk, hamisi??........mdaa nwingine bila kujali kitu alichukua moto akajipachika mkonon
I ili ahakikishe k**a kweli yu ndotoni au laah.............lakini hakuna kilichobadilika zaidi ya maumivu tu
************************************************
Hamsoni baada ya kuegamia usukani alianza
k**a utani lakini kila dakika ilivyozidi kwenda
ndivyo sauti ilivyozidi kuongezeka kwa kilio😢
""OYA KIBALAGASHIO, NILUSHIE SMG HAPO, NAONA HAPA KUNAUTATA"", ilikuwa ni sauti ya afande mmoja mwenye mamlaka hapo akitoa amli apewe kitendea kazi mala moja,.....
Hazikupita hata sekunde sita tayali walisha lizunguka gali la hamsoni na kuanza kugonga
gonga,...."""JP, anaonekana huyu sio mgeni machoni mwangu kabsa"""..........baada ya kumuona aliyeko ndani ya gali tayali walisha mtambua, maana boss wake anajulikana kila kona ya jiji la dar_salam!,,,,,tayali walishajitupia ndani ya gali, kwa kumpeleka hamsoni kazini
Kwake...... Walijua wasipomtendea wema huo
Lolote lingeweza kumkuta kwa stress alizokuw
a...................) Hakika sio polisi wana mioyo mimoja kila mtu na moyo wake, walihakikisha
wanamfikisha salama, na wao kuhakikisha wanaludi vibaluani kwao wakiwa salama salimini
************************************************
Baada ya kupambana na mawingu, hatimaye dk, hamisi alikuwa kashafika mahala alipotakiw
a kufika,,:..... ulikuwa ni mji uliochangamka san,
kila mtu na halakati zake ndani ya mji huo,, mji
uliojaliwa uzuli nchini malekani , nao sio nwingine ni London!!!! Katika mji huo ndipo dk
hamisi alipofikia,,,, baada ya maelezo yaliyopeleka zaidi ya masaa mawili hatimaye dk hamisi akapelekwa mahala ambapo opalesheni iliyomleta mjini ilipo hitajika kufanyika.......tayali kwa mdaa wa siku tatu tu, alishaanza kumtibu mkuu wa makundi ambayo
Ni hatali duniani kote, kundi hilo liliitwa mafia,
Lakini siku zote walitumia jina la (TRIAD)ambal
Lilianza kuwa imala mwaka 2002, kwa uongozi
wa mkuu aliyejulikana kwa jina la (TORONTO))
Genge hili lilianzishwa nchini china na kusamb
Duniani kote, TORONTO alifanya kazi ili kundi
Lake liwe imala mala DUFU,......ilikuwa ni miaka
Mitano tu, kundi hilo la TRIAD kuona maendeleo ambayo mkuu wao alikuwa ameyaleta kundini kwao...... Heshima ikamiminwa kwa TORONTO naye bila kipingamizi akazipokea kwa moyo mkunjufu na
Kuwaahidi mipango kabambe ya mavamizi popote walipohitaji !!!!ugonjwa ulimpata baada ya kutoka vitaani mwaka........................................

..............................ITAENDELEA
Utamu ndo umeanzaaaaa...............

Tell me Whatsapp number 0713418382

Share comment pia like story imedhaminiwa na

KUMBUKAAA HII NI 乁( •_• )ㄏ
MASUMBUKO NA MASUMBUKO YAKE

Haya Sasa kazi kwenu kuchagua🙌🙌🙌
01/08/2022

Haya Sasa kazi kwenu kuchagua🙌🙌🙌

Kalibu my friend
16/07/2022

Kalibu my friend

Address

Kigoma
KIJANAWAMPANGO

Telephone

+255764078735

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evodistory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Evodistory:

Share

Category