ML Filamu

ML Filamu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ML Filamu, Shopping & retail, Kigamboni.

Tazama hii utacheka👇👇
15/05/2021

Tazama hii utacheka👇👇

tela la filamu ya Alinacha kutana na afande likwata akitenda vyema majukumu ya kazi yake

Jamboo afande leo ndio unaingia katika maisha marefu ya kaburini nenda kamanda nenda amiri jeshi mkuu yarabi akujalie ki...
26/03/2021

Jamboo afande leo ndio unaingia katika maisha marefu ya kaburini nenda kamanda nenda amiri jeshi mkuu yarabi akujalie kile ulicho kichuma na kukiacha wananchi wakitumie kwa mapendo yako mhe magufuli

Yah majibu ya posa Husika na kichwa cha Habari hapo juu Mimi Issa hamisi issangu nimekubari kupokea ujumbe wako wa kumpo...
17/03/2021

Yah majibu ya posa

Husika na kichwa cha Habari hapo juu

Mimi Issa hamisi issangu nimekubari kupokea ujumbe wako wa kumposa binti yangu

Asha issa hamisi

Kwa mahali ya shilingi laki sita (600000)

Mpambanaji achoki kupambana ongera kaka mkubwa kwa moyo wa upendo na uchapa kazi  mzuli mwenyezi mungu akujalie maisha m...
10/03/2021

Mpambanaji achoki kupambana ongera kaka mkubwa kwa moyo wa upendo na uchapa kazi mzuli mwenyezi mungu akujalie maisha marefu zaidi

Tuwasamini wake zetu kwani ni baraka juu ya  ridhiki zetu
26/02/2021

Tuwasamini wake zetu kwani ni baraka juu ya ridhiki zetu

03/02/2021

Kazi nzuli ndugu yangu ujawahi kuchosha akili

21/08/2019

Duniani kunavituko sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

09/05/2019

Sanaa ni pana

Address

Kigamboni
ACTORFROM

Telephone

+255712660281

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ML Filamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ML Filamu:

Share