PETER POUL Tanzania

PETER POUL Tanzania Usjaribu kuidharau pesa

umewahi kufikilia nikwanini pilipili huwa nikiungo kidogo Sana lakini huwasha
11/08/2025

umewahi kufikilia nikwanini pilipili huwa nikiungo kidogo Sana lakini huwasha

Kumwacha mwanamke uliyekwisha kumzalisha  wakatimwingine huwa sio sahihi nawakati mwingine huwa ni sahihi yes ofocouse m...
18/03/2025

Kumwacha mwanamke uliyekwisha kumzalisha wakatimwingine huwa sio sahihi nawakati mwingine huwa ni sahihi yes ofocouse mahusihano sometimes yanachanganya vichwa ndo maana inatokea kutoelewana kwa baazi ya mambo! Mfano upo na x wako mlotengana kwamuda Fran emagen unamfumania namtu zaidi ya mmoja nambaya zaidi ukiwa Naye kalibu simu zinapigwa nyingi kila wakati Hadi usiku wa manane nawala hawezi pokea mkiwa karibu naye!, Namkiwa mbali ukimpigia muda mwingi unakuta Yuko busy saa7 za usiku Zen unajikuta one day anabeba mimba alafu anakuambia anaujauzito wako ! nahaiishiii hapo tu unakuta kadi za wanaume watano zote zinawahusu wote mimba halafu unaleta ujinga kwangu kwakunipelekesha nimba Yangu mala unitishie kutoa hapo Mimi nitakuruhusu kufanya maamuzi yako yoyote Yale we binafs utakayo yaamua Ila kiukweri nakutoa katika nafas Yangu ya moyo

Sabato njema kwenu Wana nabint I za MUNGU
14/03/2025

Sabato njema kwenu Wana nabint I za MUNGU

16/11/2024

Na Mwandishi Wetu , BSKY Media Oktoba 10 akiwa hospitalini Fredy Gordon Kiluswa aliposti hii katika mtandao wake wa kijamii wa Facebook 'Almighty and everlasting God, I acknowledge your blessing in the recovery of my health, and return to you my most hearty thanks for it.' Fred Gordon Kiluswa, jina....

15/11/2024
Breaking news;aliyekuwa kocha wa yanga Miguel gamond atimuliwa yeye pamoja na benchi lake laufundi hayo yametolewa nauon...
15/11/2024

Breaking news;aliyekuwa kocha wa yanga Miguel gamond atimuliwa yeye pamoja na benchi lake laufundi hayo yametolewa nauongozi mzima wa club ya yang afrecans tareh 15-11-2024 2:00 mchana huu

13/06/2021

WhatsApp Group Invite

15/02/2021

harmonize YOUR MY YOUNG BROTHER AND 💙 Yafuatayo Sitoyasema K**a Mimi ni Mzazi wa Paula no Naandika K**a Mzazi Nilie na Mtoto wa K**e (ZUREKHA) Lakini Pia K**a Msani Mwenzio (RAY ) Najiuliza tuu..!! Ulipata wapi Ujasiri Huu Wa Kutembea na Mwanafunzi Wa Kidato Cha (5) Wakati ni Wazi Yakwamba ni Kosa La Jinai Hukumu Yake Sio Chini Ya Miaka 30 Lakini Pia Isitoshe Una RECORD na Video Ukiwa Una KISS Yani Unaonyesha Kwamba Serikali Haiwezi Kukufanya Kitu Nawaza Lengo Lilikuwa ni Kuonyesha Kwamba Upo Juu Ya Sheria .? Hebu Angalia Future Ya Mtoto Wawatu Umeiweka wapi Kwa Tamaa Za Siku 1 K**a kweli Mlikuwa mnapendana MUKO IN LOVE Video ilikuwa na Haja Gani And Lengo La Kuvujisha nini ...?? LAKINI PIA SERIKALI itajiuliza Una VIDEOS Ngapi Za Watoto wa shule K**a Umeweza Kuwa na hii Na Ukaivujisha ? Jee Uliwaza Wasichana wa Rika Lake ambao Walikuwa Mashabiki Zako Watafurahishwa na Hichii Kitendo Cha Kinyama ? Maana K**a Leo Umemfanyia Mwenzao Ni wazi Kesho Utawafanyia Wao ...!!! Huoni k**a Umewapoteza Mashabiki imara...!!! Wataipata wapi Nguvu Ya Kujirecord Ngoma Zako na Kupost ikiwa Umemzalilisha Msichana mwenzao Mdogo (KINGONO ) ? Jee kuhusu wazazi wenye Watoto Wakike Watakutazama Sura Gani ...?? Usisahau Kuna Vijana wenzio Ambao wana wadogo Zao Wakike Watakuonaje ..??? Kwanini Usiendelee Kuimba Muziki tuu Huihitaji Kujiingiza Katika Kuhatalisha maisha Yako K**a Hivi Tazama mifano Ya Wasani Wakubwa Akina R KELLY Mpaka Leo wana Sota Ndani Kwajili Ya Mambo Hizi za watoto Wa (Shule) K**a Tatizo Lilikuwa Ni Mimi Kumpenda Mama Yake (P) Na watu wengi wakavutiwa Na sisi si Ungetafuta Mkubwa Mwenzio Why ( MWANAFUNZI) tena wa Miaka Hii Ya (JPM) SERIKALI YA LEO IPO MACHO SANAAA MAANA WATENDAJI WENGI NI VIJANA JE WATAKUBALIANA NA HILI Unadhani Waziri wa Sanaa Michezo Na Burudani Atakalia Kimya ??? Umejiuliza Mashirika Yanayosimamia Haki za Wanawake Watalifumbia Macho ??? Mamlaka Za Elimu Jeee ???? DAAH SINA LAKUFANYA ZAIDI YA KUKUOMBEA HURUMA YA SERIKALI

Address

Issenye
Kigamboni
NDIO

Telephone

+255762524560

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PETER POUL Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PETER POUL Tanzania:

Share