Ahmed_car_spare_part

Ahmed_car_spare_part Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ahmed_car_spare_part, Kariakoo.

01/06/2026
28/05/2026

Wateja wetu wapendwa, tuna furaha kuwajulisha kuwa tuna stock kubwa ya spare parts za aina mbalimbali kwa magari madogo, Land Cruiser, Coaster na magari mengine mengi. Tunakuhakikishia upatikanaji wa vipuri vya ubora kwa bei nzuri ili kuhakikisha gari lako linaendelea kufanya kazi kwa ufanisi.

Karibu dukani kwetu kupata spare parts unazohitaji – stock ni kubwa na tupo tayari kukuhudumia!

πŸ«₯Jumla & Rejareja
πŸ“k/koo swahil & rufiji
πŸ“ž+255657427055

26/05/2026

β€œStock kubwa ya clutch plate za Toyota 1HZ Coaster & Land Cruiser imewasili. Zipo za kutosha, ubora wa hali ya juu na bei nafuu. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.”

πŸ“ K/koo rufiji na swahil
πŸ“ž0657427055





19/05/2026

πŸ›ž Brake shoe za Vigo zenye ubora wa hali ya juu zinapatikana kwetu kwa jumla na rejareja.
Zinadumu muda mrefu, hazili drum kirahisi na zinakupa braking yenye uhakika barabarani. πŸš—πŸ’¨

βœ… Quality guaranteed
βœ… Bei nafuu
βœ… Kwa matumizi ya kazi nzito na kawaida

Karibu upate spare original na huduma bora zaidi. πŸ”§

18/05/2026

Brake Drum za Toyota Hilux Revo zinapatikana kwetu kwa ubora wa hali ya juu 🚘
Tunauza jumla na rejareja kwa bei nzuri na huduma ya uhakika.

0657427055

Address

Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ahmed_car_spare_part posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share