Ally Jivanji

Ally Jivanji PMC TANZANIA DEALERS OF HOTEL,BAKERY,BUTCHER AND KITCHEN EQUIPMENTS
KARIAKOO SKUKUU&MCHIKICHI STREET

πŸŒ™βœ¨ EID AL ADHA MUBARAK βœ¨πŸŒ™PMC Tanzania inawatakia Waislamu wote Eid yenye amani, furaha na baraka nyingi. Tukio hili litu...
26/05/2026

πŸŒ™βœ¨ EID AL ADHA MUBARAK βœ¨πŸŒ™

PMC Tanzania inawatakia Waislamu wote Eid yenye amani, furaha na baraka nyingi. Tukio hili litukumbushe utiifu, upendo na kushirikiana na wengine kwa moyo wa ukarimu. 🀍

Eid njema kwako na familia yako! πŸŒ™πŸ

πŸ“ž Mawasiliano: +255 686 564 447
PMC Tanzania – Vifaa vya kisasa kwa maisha bora.

15/05/2026

🍦✨ Ice Cream Cone Maker Machine ✨🍦

Tengeneza cone za ice cream kwa haraka na muonekano wa kuvutia 😍

βœ… Double plate design
βœ… Fast heating system
βœ… Easy operation
βœ… Crispy & perfect cone shape
βœ… Inafaa kwa ice cream business, cafe & restaurant

πŸš€ Ongeza uzalishaji na kuvutia wateja zaidi kwenye biashara yako

πŸ“ž 0686 564 447
πŸ“ Kkoo – Sikukuu & Mchikichi

PMC Tanzania – Vifaa bora kwa biashara yenye faida πŸ’ΌπŸ”₯

13/05/2026

πŸ”βš‘ Chicken Feather Removal Machine βš‘πŸ”

TZS 1,800,000/=

Ondoa manyoya ya kuku kwa haraka, usafi na ufanisi mkubwa πŸ’―
Inafaa kwa butcher, hotel, restaurant na biashara za kuku.

βœ… More than 95% feather removal
βœ… Inaokoa muda na nguvu kazi
βœ… Easy operation
βœ… Strong & durable body
βœ… Kuku 10 kwa pamoja

πŸš€ Fanya kazi kwa speed ya kisasa na kuongeza uzalishaji wako leo!

πŸ“ž 0686 564 447
πŸ“ Kkoo – Sikukuu & Mchikichi

PMC Tanzania – Vifaa vya kisasa kwa biashara za kisasa πŸ”₯

13/05/2026

✨🍽️ WHITE GLOBE CHAFING DISH ✨

βœ… Capacity: 8L
βœ… Size: 39.5 Γ— 53 Γ— 85CM
βœ… Material: Stainless Steel 201
βœ… Elegant gold design
βœ… Heat retention
βœ… Easy to clean

Perfect kwa weddings, hotel & catering events πŸ’―

πŸ’° Bei: TZS 350,000/=

πŸ“ž 0686 564 447
πŸ“ Kkoo – Sikukuu & Mchikichi

PMC Tanzania – Premium setup for premium events ✨

09/05/2026

πŸ”₯✨ VIFAA VYA KISASA KWA MAISHA YA SASA – PMC TANZANIA ✨πŸ”₯

Tunakuletea vifaa bora vya biashara na matumizi ya kisasa kwa ubora wa hali ya juu πŸ’―

βœ… Bakery Equipment
βœ… Butchery Equipment
βœ… Kitchen Equipment
βœ… Home Appliances

✨ Original Products
✨ Warranty Available
✨ Affordable Prices

πŸ‘‰ Chagua PMC Tanzania kwa vifaa vinavyoongeza ufanisi, speed na ubora wa biashara yako πŸš€

πŸ“ž Call/WhatsApp: 0686 564 447
πŸ“ Kariakoo – Sikukuu/Aggrey, Dar es Salaam

PMC Tanzania – Suluhisho la vifaa vya kisasa kwa biashara yako πŸ’ΌπŸ”₯

01/05/2026

❄️πŸ”₯ CHEST DISPLAY FREEZER – 2M | 600L πŸ”₯❄️

Onesha bidhaa zako kwa muonekano wa kuvutia na kuongeza mauzo πŸ’―

βœ… Urefu: 2 Meter
βœ… Uwezo: 600 Liters – nafasi kubwa ya kuhifadhi
βœ… Glass top – wateja wanaona bidhaa kirahisi
βœ… Baridi kali & matumizi madogo ya umeme
βœ… Inafaa kwa ice cream, vinywaji & frozen foods

πŸ‘‰ Perfect kwa supermarket, shop & biashara za baridi

πŸš€ Ongeza mvuto wa bidhaa zako na kuvutia wateja zaidi

πŸ’° Bei: TZS 3,200,000/=

πŸ“ž Call/WhatsApp: 0686 564 447
πŸ“ Kkoo – Sikukuu & Mchikichi

PMC Tanzania – Vifaa bora kwa biashara yenye faida πŸ’ΌπŸ”₯

30/04/2026

πŸ”§βœ¨ WORKING STATION 1.5MT – PMC βœ¨πŸ”§

Unahitaji meza ya kazi imara, safi na ya kudumu kwa jiko au biashara yako? Hii ndiyo suluhisho! πŸ’―

βœ… Heavy-duty stainless steel – haituiki wala kushika kutu
βœ… Strong & stable – inabeba uzito mkubwa bila kuyumba
βœ… Rafu za juu na chini – kupanga vifaa kwa urahisi
βœ… Rahisi kusafisha – perfect kwa mazingira ya chakula

πŸ‘‰ Inafaa kwa: restaurants, hotel, bakery & kitchen za biashara

πŸš€ Ongeza mpangilio na ufanisi wa kazi yako leo!

πŸ’° Bei: TZS 1,150,000/=

πŸ“ž Call/WhatsApp: 0686 564 447
πŸ“ Kkoo – Sikukuu & Mchikichi

PMC Tanzania – Vifaa imara kwa biashara bora πŸ’ΌπŸ”₯

27/04/2026

πŸ”₯πŸ”₯ MILK PASTEURIZER MACHINE – 50L πŸ”₯πŸ”₯

Unataka kuuza maziwa yaliyo salama na yenye ubora wa kiwango cha juu? Hii ndiyo suluhisho sahihi kwa biashara yako!

βœ… Inaua bakteria hatari kwa ufanisi mkubwa
βœ… Inaongeza muda wa kuhifadhi maziwa (shelf life)
βœ… Inahifadhi ladha na virutubisho vya maziwa
βœ… Rahisi kutumia na kusafisha

βš™οΈ Specifications:
β€’ Inatumia umeme
β€’ Nyenzo: Chuma cha pua (Imara & rahisi kusafisha)
β€’ Vipimo: 550 Γ— 550 Γ— 1100 mm
β€’ Nguvu ya kupasha joto: 6Kw
β€’ Uwezo: 50 Liters
β€’ Muda wa kuua bakteria: Dakika 5–40 (Adjustable)
β€’ Voltage: 220V
β€’ Uzito: 85kg

πŸ’° Bei: TZS 3,700,000/=

πŸ“ Kariakoo Skukuu&mchikichi street
πŸ“ž Call/whatsapp 0686 564 447

Address

Skukuu&mchikichi
Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ally Jivanji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category