Said lusafisha

Said lusafisha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Said lusafisha, Shopping & retail, Kakola bulyanhulu, Kahama.

02/09/2022

Ukakamavu kwa mwanaume uko hivi!!!!

11/07/2020

Natamani Sana kuwa na marafiki wakweli wasio na unafiki, maana wengi wapo ukianza nae kazi yoyote ukimzidi mafanikio inakua ngumu kufikili yeye kua umepata kwa neema ya bwana,anaanza kufikilia Mambo ya kuvuruga mipango yako aidha kukuiba au kusema maneno mabaya kuhusu kazi yako, kutangaza vibaya biashara yako "biashara yake yakukopa ,alidhulumu bosi wake ndoomaana akajenga nyumba vizuri, ameibiakamouni ndoomaana ananawili Sana,anapiga mipango ya watu ucku ndoomaana anaishi kwa kujivunia pesa zake," hayo yote yasemwa na huyo uliyekuwa ukifanya nae kazi akashindwa kafanikiwa, akabaki na bwebwe hizo za unafiki, tujifunze Sana wewe, Yule au mimi tukiwa narafi tujaribu kuheshimiana ili tudumishe imara urafiki wetu.

19/05/2020
Nawapa habari wapendwa, Jana nilikua na shalehe ya kuzaliwa kwangu namshukuru mwenyezi mungu kwa ulizi wake alionipa ,na...
24/04/2020

Nawapa habari wapendwa, Jana nilikua na shalehe ya kuzaliwa kwangu namshukuru mwenyezi mungu kwa ulizi wake alionipa ,namuomba aendelee kuwa nami siku zijazo,pia na wapongeza waliozaliwa tarehe 23 apr nawatakia siku njema na mungu awabariki.

Napenda kuwapa pongezi wadau kwa kuchapa kazi zutu za kapambana na misukosuko ya Manisha.
11/02/2020

Napenda kuwapa pongezi wadau kwa kuchapa kazi zutu za kapambana na misukosuko ya Manisha.

Address

Kakola Bulyanhulu
Kahama

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Said lusafisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share