Luhala Mens Wear

Luhala Mens Wear 0767371453

0767371453 dsm
19/09/2023

0767371453 dsm

19/09/2023
0767371453
24/07/2023

0767371453

0767371453 mwenge dsm
17/07/2023

0767371453 mwenge dsm

06/07/2023

𝗞𝗨𝗦𝗘𝗠𝗔 𝗨𝗞𝗪𝗘𝗟𝗜 𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘 𝗭𝗔 𝗠𝗨𝗡𝗚𝗨 𝗦𝗜𝗬𝗢 𝗗𝗛𝗔𝗠𝗕𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗨𝗝𝗔𝗔 𝗪𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗛𝗜𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗦𝗔.

Asante sana Mungu 🤲 kwa kunifikisha salama jijini Mwanza,Ndugu zangu wote wenye page ambao hamna itikadi za Uyanga wala Usimba kwenye page zenu,mnakwama wapi au mnashindwa vipi kujipatia sifa kwenye ishu K**a hizi kuhusu Yanga kwa wanachofanya kwa Sasa.

Nimeona andiko la ndugu yangu Tom Cruz leo kuhusu kumjibu jemedari Sadi kuhusu Fabrice Ngoma na nimefurahi sana kuona sasa Vijana tumekuwa na tumeamka kupambana na propaganda za kijinga ambazo zinazidi kudidimiza mpira wetu Safi sana Tom Cruz 🤝.

Ndugu zangu wote wenye page humu Facebook na hata kwengineko,Hakuna dhambi yoyote ambayo utapata K**a utasimama kwenye kusema ukweli au kusik**amia kile ambacho unaamini wewe,Hata Mimi niliandika kwa moyo mmoja pale nilipotaka kuwaona Simba wanafanya vizuri kimataifa ili kuwapa hasira Yanga nao wafanye kazi kuyafikia mafanikio ya wapinzani wao, Nasikitishwa sana na waandishi hapa Tanzania kutosimama kusema ukweli kuhusu Yanga.Na kujikita kwenye propaganda za kijinga tu kisa kutafuta Followers.

Yanga kwa Sasa Wana kila haki ya kutamba mbele ya watani zao na timu zingine kwasababu wamefanya vizuri Kwenye mashindano yote ya ndani hadi kimataifa,,Wameshinda ubingwa wa ligi,,Asfc,Ngao na wamekuwa washindi wa pili Caf confederation cup,bravo Yanga.

Leo hii Yanga wamefanya kitu ambacho hakuna mtu yoyote ambaye angeweza kuamini K**a rais wao Eng Hersi Ally Said na wenzie k**a wataweza chini ya Uongozi wao wamefanikisha mabadiliko ndani ya klabu,,wameleta umoja na mshik**ano ndani ya wanachama wao,, Wamefanikisha kuwaleta wawekezaji Crdb bank,,NBC bank,,Nbc bank nk,,ambao wanakwenda kuwashika mkono kwenye projects zao za kukusanya michango ya ada za wanachama na mashabiki pamoja na ujenzi wa uwanja wao.

Miaka ya nyuma ikuwa ni ngumu Sana kwa timu hizi za Yanga na Simba kusema ukweli kuhusu bajeti zao lakini leo hii timu zinatoka mbele ya mashabiki wao na kutamba wamepanga bajeti za 20.8B na 23B kwa maandalizi ya msimu ni jambo bora sana na kupigiwa makofi kwa kushangilia sasa mpira wetu umekuwa.

Leo hii Uongozi wa Yanga umepokea mwaliko Kutoka serikali ya Malawi kwenye sherehe zao za Uhuru ni mwandishi gani ameongelea tukio hili la kihostoria ambalo Yanga wameandika kwenye vitabu vyao,,Yanga wamepokelewa K**a wafalme nchini Malawi leo mbele ya rais wa nchi na kufanyiwa parade & tamaduni za watu wa Malawi kitu ambacho Mara nyingi tunaona kwa nchi za kiafrika wanafanyiwaga maraisi tu.Ndugu zangu wenye page humu Facebook tusione aibu kusema ukweli kuhusu timu yoyote inapofanya vyema.

Yanga jana wamemtangaza mchezaji mzawa lakini waandishi wengi hakuna walichoweza kumwandika Mtanzania mwezetu vizuri kwa kupiga hatua kwenye maisha yake ya soka tumekuwa watumwa kuwaandika wageni kwa kuwapa sifa ambazo hazina faida kwa mpira wetu mwisho wa siku hawa wazawa ndio wanakuja kutupa furaha kwenye timu yetu ya Taifa.Bado hatujachelewa muda bado upo rai yangu ukiwa k**a mwandishi au mwanaharakati ambaye umeamua kufanya kazi hii usiogope kuandika ukweli pale timu au taasisi inapofanya vyema.

My name is Castor Yanga news

30/05/2023
0767371453 Duka mwenge vitu vyote ni kutoka u.k
25/05/2023

0767371453 Duka mwenge vitu vyote ni kutoka u.k

0786399197
25/05/2023

0786399197

Address

Mwenge Sl Dsm Near Bus Stand Mwenge Tell 0767371453
Dsm

Telephone

+255767371453

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Luhala Mens Wear posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share