JayWilly Classic Collections

JayWilly Classic Collections Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JayWilly Classic Collections, Dodoma.

05/03/2024
Haya tena muda wa maandalizi wa msimu wa Graduations njoo upate kilicho bora kwa gharama nafuu.ONEWAY-BARABARA YA 10.- D...
01/08/2023

Haya tena muda wa maandalizi wa msimu wa Graduations njoo upate kilicho bora kwa gharama nafuu.
ONEWAY-BARABARA YA 10.- DODOMA
Kwa mawasiliana zaidi 0715970765

WAOMBEENI WANAOWAUDHI.Amri za Kristo ni sehemu muhimu sana katika Ushirika wetu. Tusipojaribu kuziweka katika mawazo yet...
03/09/2018

WAOMBEENI WANAOWAUDHI.

Amri za Kristo ni sehemu muhimu sana katika Ushirika wetu. Tusipojaribu kuziweka katika mawazo yetu, na kuzifuata, hatuna sehemu katika Mwili wa Kristo. " Matendo " ya " imani " yetu yanadhihirishwa k**a ni hai au yamekufa. Hebu natuyatafakari kila mara, na yawe msingi wa matendo yetu yote.
1. Wapende adui zako; watendee mema wakuchukiao.
" ... lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi;... " (Mathayo 5:44).
2. Usiwapinge waovu: mtu akikupiga shavu la kushoto, mpe na la kulia.
" ...lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili. Na mtu atakaye kukush*taki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia " (Mathayo 5:39, 40).
3. Usilipize kisasi: epukana na hasira: kubali kupata hasara.
" K**a yamkini, kwa upande wenu, mkae katika amani na watu wote. Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana, imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana " (Warumi 12:18, 19).
4. Mtu akichukua mali yako, usiulize urudishiwe.
" Akupigaye shavu moja, mgeuzie la pili, naye akunyang' anyaye joho yako, usimzuilie na kanzu. Mpe kila akuombaye, na akunyang' anyaye vitu vyako, usitake akurudishie " (Luka 6:29, 30).
5. Patana na adui wako upesi, hata kukubali makosa kwa ajili ya amani.
" Patana na msh*taki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule msh*taki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani " (Mathayo 5:25).
" Basi imekuwa upungufu kwenu kabisa kwamba mnash*takiana ninyi kwa ninyi. Maana si afadhali kudhulumiwa? Maana si afadhali kunyang' anywa mali zenu " (1 Wakorintho 6:7).
6. Usisumbukie utajiri: kuwa tayari kutenda mema, wape wakuulizao: wasaidie wahitaji
" ...ila tukiwa na chakula na nguo tutaridhika na vitu hivyo " (1 Timotheo 6:8).
" ...kwa mahitaji ya watakatifu, mkifuata ukarimu; katika kukaribisha wageni, mkijitahidi "
(Warumi 12:13).
" Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana; maana sadaka k**a hizi ndizo zimpendezazo Mungu " (Waebrania 13:16).
" Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli

Haya msimu wa Graduation,, Mnakaribishwa JayWilly Classic Collection...Bidhaa k**a Cards,Mataji,na Zawadi mbalimbali zin...
30/06/2018

Haya msimu wa Graduation,, Mnakaribishwa JayWilly Classic Collection...Bidhaa k**a Cards,Mataji,na Zawadi mbalimbali zinapatikana.

Tupo Oneway- Barabara ya Kumi karibu na Lomburi Store

Price is What You Pay,Value is What You Get!!Warning, Caution, Beware @ Kibosho, Kilimanjaro, Tanzania
11/05/2018

Price is What You Pay,
Value is What You Get!!

Warning, Caution, Beware
@ Kibosho, Kilimanjaro, Tanzania

Remind Yourself of the Positive Impact(of your actions).-When you Perform good your efforts never go wasted. The effort,...
12/04/2018

Remind Yourself of the Positive Impact(of your actions).

-When you Perform good your efforts never go wasted. The effort, will get you to do what you want to eventually.!!

01/04/2018
Kwa mahitaji ya Urembo,miti ya Christmas size zote,Disko lights, Statues za Father Christmas(Santa),  Maandishi ya Chris...
02/12/2017

Kwa mahitaji ya Urembo,miti ya Christmas size zote,Disko lights, Statues za Father Christmas(Santa), Maandishi ya Christmas na Mwaka Mpya.

Karibu dukani kwetu maeneo ya Barabara ya Kumi-One Way. Au wasiliana nasi kwa namba 0715970765/0622558987

Kwamahitaji ya stand za viatu,Doormats/vikanyajio malangoni,Bomba za Pazia,kamba za pazia,Saa za mkononi na Ukutani. Njo...
20/08/2017

Kwamahitaji ya stand za viatu,Doormats/vikanyajio malangoni,Bomba za Pazia,kamba za pazia,Saa za mkononi na Ukutani. Njoo JayWilly Classic Collections barabara ya Kumi-Oneway(Dodoma). au wasiliana nasi 06225558987

kwa mahitaji ya Vitu vya sherehe,graduations,BIRTH DAY,...fika OneWay brbr ya kumi tukuhudumie..Karibu sana
17/08/2017

kwa mahitaji ya Vitu vya sherehe,graduations,BIRTH DAY,...fika OneWay brbr ya kumi tukuhudumie..Karibu sana

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JayWilly Classic Collections posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share