Kilalah collection

Kilalah collection KILALAH COLLECTION 📍Kariakoo Agrey/Nyamwezi
DM/WhatsApp: 0686220723

02/06/2026
02/06/2026
🌙✨ EID AL-ADHA MUBARAK ✨🌙Kilalah Collection tunawatakia wateja wetu wote na familia zenu Eid yenye furaha, amani na bara...
27/05/2026

🌙✨ EID AL-ADHA MUBARAK ✨🌙
Kilalah Collection tunawatakia wateja wetu wote na familia zenu Eid yenye furaha, amani na baraka tele 🤍
Mwenyezi Mungu akubali ibada zetu, atusamehe makosa yetu na atujaalie afya njema, riziki yenye kheri na mafanikio katika kila jambo. 🌸
Asanteni kwa kuendelea kutuamini na kuwa sehemu ya familia ya Kilalah Collection. Tunawaombea siku njema ya Eid iliyojaa tabasamu na upendo. 🤍🐑
✨ STYLE YAKO, HESHIMA YAKO ✨

14/05/2026
14/05/2026

*Kilalah Collection ✨*
Tunauza *Abaya Classic kutoka Dubai* nzuri sana, maashallah!

Ubora wa hali ya juu, material poa, na designs za kisasa zinazokupa muonekano wa kifahari.
📏 Size zote zipo
💰 Bei rafiki kabisa

📍 Tunapatikana Kkoo, Agrey na Nyamwezi
📞 WhatsApp/Call: 0686 220 723
🚚 Delivery ipo Dar na mikoani

Karibu Kilalah Collection, tunakuhudumia kwa upendo na uaminifu ❤️

Address

KILALAH COLLECTION @gmail. Com
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilalah collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category