Clack jack

Clack jack Golden Kado Beans Supply
Tunauza maharage bora (kado) kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu.

Huduma ya uhakika kwa jumla na rejareja.
📞 Wasiliana nasi kwa oda 0613727467

Sina neno     panajieleza
07/05/2026

Sina neno
panajieleza

Golden Kado Beans Supply ni biashara inayojihusisha na usambazaji wa maharage bora kwa wateja wa aina mbalimbali k**a vi...
02/04/2026

Golden Kado Beans Supply ni biashara inayojihusisha na usambazaji wa maharage bora kwa wateja wa aina mbalimbali k**a vile familia, wafanyabiashara, hoteli, na taasisi.
Biashara hii inalenga:
Kutoa maharage yenye ubora wa juu na yaliyosafishwa vizuri
Kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa kwa bei nafuu na ya ushindani
Kusambaza kwa wakati na kwa uhakika kwa wateja
Kujenga uaminifu kupitia huduma bora kwa wateja
Golden Kado Beans Supply ni chaguo sahihi kwa yeyote anayehitaji maharage kwa matumizi ya nyumbani au biashara, kwa kuzingatia ubora, usafi, na huduma ya haraka. ahsante 😃😄

Unayajua haya         Nambie mnayaitaje kwa lugha yakooo???🙄🙄🙄
09/09/2025

Unayajua haya
Nambie mnayaitaje kwa lugha yakooo???🙄🙄🙄

Kwa lugha Yako unayaitaje hayaaa🙊🙊🙊🙊🙊
08/09/2025

Kwa lugha Yako unayaitaje hayaaa🙊🙊🙊🙊🙊

Address

Kigogo Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Clack jack posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share