Cecy Tarimo

Cecy Tarimo https://softteacher.co.tz/signup

Tap the link to join our platform 👆👆

Mzazi, usikubali mwanao apitwe na mitihani ya mwezi huu🔥Mitihani ya SoftTeacher ni nafasi ya mwanao kuongeza uelewa, kuj...
19/05/2026

Mzazi, usikubali mwanao apitwe na mitihani ya mwezi huu🔥

Mitihani ya SoftTeacher ni nafasi ya mwanao kuongeza uelewa, kujiamini na kufanya vizuri zaidi darasani 📚✨

14/05/2026

Je, mtoto wako anajifunza kwa sababu unasimamia… au anajifunza kwa sababu anaelewa umuhimu wa elimu? 📚✨

Jiunge nasi kwenye semina maalum kwa wazazi na walimu ujifunze namna ya kumuwezesha mtoto kujifunza kwa kujitegemea bila usimamizi wa kila wakati🔥

Saturday, 16/05/2026
Saa 5:00 Asubuhi
Google Meeting

Elimu bora inaanzia nyumbani 🤝
Cecy Tarimo

Je, unatamani mwanao awe na uwezo wa kujifunza mwenyewe kwa umakini bila kuhitaji kusimamiwa kila wakati?SoftTeacher tun...
05/05/2026

Je, unatamani mwanao awe na uwezo wa kujifunza mwenyewe kwa umakini bila kuhitaji kusimamiwa kila wakati?

SoftTeacher tunakukaribisha katika semina maalum kwa njia ya Zoom itakayokupa mbinu za kisasa za kumsaidia mtoto wako katika ulimwengu huu wa kidijitali unaobadilika kwa kasi.

MADA: "Jinsi ya kumwezesha mtoto wako kujifunza kwa kujitegemea bila usimamizi katika dunia ya kidijitali inayobadilika kwa kasi."

Join Zoom Meeting
https://us05web.zoom.us/j/81847737660?pwd=aeq0oIruqDtUtWbU0V0DaKWh66mVnh.1

Meeting ID: 818 4773 7660
Passcode: 1

Safari imekuwa ndefu, jitihada zimekuwa nyingi 💯Best of luck to all Form Six kwenye hatua hii muhimu 📚 📓SoftTeacher tuna...
04/05/2026

Safari imekuwa ndefu, jitihada zimekuwa nyingi 💯
Best of luck to all Form Six kwenye hatua hii muhimu 📚 📓
SoftTeacher tunawaombea mafanikio makubwa🥰😘

Happy Easter from SoftTeacher📚Give your child a smarter way to learn with SoftTeacher♥️
05/04/2026

Happy Easter from SoftTeacher📚
Give your child a smarter way to learn with SoftTeacher♥️

04/04/2026
21/03/2026

Eid Mubarak 🌙✨
Keep learning and keep growing with softteacher📚👩‍🎓 Mubara Cecy Tarimo

09/03/2026

Je, mtoto wako anapata msaada wa masomo hata akiwa nyumbani? 📚

Kupitia SoftTeacher, mtoto anaweza kujifunza kwa urahisi kupitia simu au computer.

Mpe mtoto wako nafasi ya kufanya vizuri zaidi shuleni.

Tuma neno “INFO” kwenye comment nikuelekeze jinsi ya kumsajili mtoto.

Address

Mbezi Magufuli-Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
123

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cecy Tarimo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share