Gecko Motors

Gecko Motors Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gecko Motors, Retail Company, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam.

TUNAUZA MABASI, MALORI NA MASHINE MBALI MBALI ZA UJENZI NA VIWANDANI
TUNASAFIRISHA MABASI, MALORI, MASHINE MBALI MBALI ZA UJENZI NA VIWANDANI NA BULK CARGOS KUTOKA CHINA
KARIBUNI

23/01/2026

Biashara ya logistics na ujenzi inahitaji magari na mashine imara ili kuepuka changamoto za matengenezo ya mara kwa mara, gharama kubwa za ununuzi lakini pia muda wa uwasilishwaji wa gari au mashine yako, mambo ambayo yanayoweza kuathiri shughuli zako…

Sasa, sisi TRAX TRADING COMPANY tumekuja na suluhisho kwa ajili yako….
1. Tunaagiza na kuuza magari na mashine mbalimbali zenye ubora kwa maana ya magari ya kibiashara k**a mabasi malori pamoja na magari binafsi pia na mashine nzito zenye ubora k**a excavators, rollers, dozers na zinginezo.
2. ⁠Tunafanya ukaguzi kabla ya kusafirisha ili kuthibitisha na kuhakikisha uimara na ubora wa gari au mashine yako.
3. ⁠Tunashughulikia clearance na delivery hadi mahali unapohitaji mteja wetu.

Gharama zetu ni nafuu na unaweza lipa kwa awamu…
Tunapatikana Magoneni Kanisani-Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia 0622726182

23/12/2025

2024 Hyundai 305LC-9S excavator crawler
Ina masaa 635 tu
Cummins diesel engine
Bucket ≈1.9m^3
266hp
Kina cha kuchimba: 7.5m
Bei: 152,000,000
Lipa cash au kwa awamu 2
Delivery: siku 30-45
Tembelea ofisi yetu iliyopo Magomeni Mikumi Dar es salaam
Call/whatsapp ⁨0622 726 182⁩ ゚viralシfypシ゚ 🥰❣️💫

Yutong ZK6932D maarufu k**a Yutong F9 zikiwa tayari kabisa kulingana na mahitaji ya mteja kwenda kutumikia abiria. Yote ...
02/06/2025

Yutong ZK6932D maarufu k**a Yutong F9 zikiwa tayari kabisa kulingana na mahitaji ya mteja kwenda kutumikia abiria. Yote haya na mengine mengi utayapata kwetu sisi Gecko Motors kwa bei nafuu kabisa
Tunapatikana Magomeni Mikumi Dar es salaam
Zhengzhou Henan province Erqi district China
Tupigie/ Whatsapp 0622 726 182

Matajiri zetu wa usafirishaji tunaposema tunauza haya Mabasi ya mtumba kwa bei nafuu sana na tunafanya customizations tu...
29/05/2025

Matajiri zetu wa usafirishaji tunaposema tunauza haya Mabasi ya mtumba kwa bei nafuu sana na tunafanya customizations tunamaanisha hivi. Hii ni Yutong ZK6112D mteja wetu alitaka tuifanye kuwa Yutong F12 tukambadilishia na Bado tunaendelea na customization zingine. Yote haya utayapata kwetu sisi Gecko Motors na utajipatia mabasi mbali mbali k**a Yutong F11, F9 F10 na mengineyo mengi.Tunapatikana Magomeni Mikumi Dar es salaam, China tunapatikana Zhengzhou Henan province Erqi district. Wasiliana nasi kupitia 0622726182 Whatsapp 0622726182.
Karibuni sana

Pasaka offerPrice: 32.7M2006 Toyota Harrier 2360 ccWinkers Keyless entry Clean interiorLow mileage Usajili na bima bure ...
21/04/2025

Pasaka offer
Price: 32.7M
2006 Toyota Harrier
2360 cc
Winkers
Keyless entry
Clean interior
Low mileage
Usajili na bima bure kabisa
Lipia 22,170,250 tukuagizie na inayobaki lipia gari ifikapo bandarini
Call or whatsapp 0622726182

゚viralシfypシ゚

Price 62M 2020 Subaru Forester 2.5L Petrol78000KMMalipo kwa awamu mbiliAwamu ya kwanza  40,583,000/=Iliyobaki 21,417,000...
20/04/2025

Price 62M
2020 Subaru Forester
2.5L Petrol
78000KM
Malipo kwa awamu mbili
Awamu ya kwanza 40,583,000/=
Iliyobaki 21,417,000/= utalipia gari ikifika bandarini baada ya wiki 6 ukiagiza
Usajili na Full tank bure kabisa

#2025

Price: 34M 2013 Subaru Forester Eyesight1990 ccNon turbo67000KMAnza kwa kulipia 19,280,000/= tukuagizie na nyingine lipi...
17/04/2025

Price: 34M
2013 Subaru Forester Eyesight
1990 cc
Non turbo
67000KM
Anza kwa kulipia 19,280,000/= tukuagizie na nyingine lipia baada ya gari kufika bandarini ndani ya siku 40
Agiza nasi ujipatie offer ya Full tank usajili na bima bure kabisa

Price 33.4M 2015 Mazda CX-52180 cc Diesel Low mileage Push to start Winkers clean interiorFog lights keyless entry IKO N...
14/03/2025

Price 33.4M
2015 Mazda CX-5
2180 cc
Diesel
Low mileage
Push to start
Winkers
clean interior
Fog lights
keyless entry

IKO NJIANI INAFIKA TAREHE 6/4/2025
ZIKO 2 MOJA HII NYINGINE NYEKUNDU ZOTE 2015 SPECS SAWA
WAHI SASA

2010 Toyota Rav4 X 2360 CC2AZ VVTi 48000KM clean interior keyless entry push to start winkers rear spoiler reverse camer...
27/02/2025

2010 Toyota Rav4 X
2360 CC
2AZ
VVTi
48000KM
clean interior
keyless entry
push to start
winkers
rear spoiler
reverse camera
price 32.6M
Malipo kwa awamu mbili
17,657,300/= awamu ya kwanza uagizapo nasi
14,942,700/= awamu ya pili gari ikifika bandarini
Usajili na bima ni bure
Delivery mkoa wowote ni bure

Address

Magomeni Mikumi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gecko Motors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category