ASILO Construction Co. Ltd

ASILO Construction Co. Ltd +225786521704

12/12/2025

Celebrating my 1st year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

Church site!
12/12/2025

Church site!

05/07/2025
Hata ukiwa na room 2 pia inaitwa nyumba siyo lazima uanze na Apartments πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
03/07/2025

Hata ukiwa na room 2 pia inaitwa nyumba siyo lazima uanze na Apartments πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Uzuri Mungu mwenyewe anataka uishi vizuri Sasa wewe unakwama wapi kujenga yako??Usiogope Gharama njoo chap tushauriane! ...
03/07/2025

Uzuri Mungu mwenyewe anataka uishi vizuri Sasa wewe unakwama wapi kujenga yako??

Usiogope Gharama njoo chap tushauriane!
Wakati ni mdogo sanaaπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Kupanga ni kuchagua! Bidii na jitihada zako ndizo zitakusaidia hapa Duniani! Mara mia Uwe na udhaifu wowote ila usiwe mz...
03/07/2025

Kupanga ni kuchagua!
Bidii na jitihada zako ndizo zitakusaidia hapa Duniani!

Mara mia Uwe na udhaifu wowote ila usiwe mzembe!
Nafikiria kuwa wazembe hata ufalme wa Mungu hawatapata, na hao watakuwa wamepoteza haki zao hapa Duniani na hata uzima wa milele hawataona πŸ€”πŸ€”

Anyway njoo ujenge na ASILO Construction Leo ingawa hii ni nyumba ya Duniani ila siyo mbaya pia ukiishi vizuri πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Unataka kufahamu nini kuhusu ujenzi??ASILO Construction Company Limited tupo kujibu maswali yako muhimu kuhusu Ujenzi wa...
03/07/2025

Unataka kufahamu nini kuhusu ujenzi??

ASILO Construction Company Limited tupo kujibu maswali yako muhimu kuhusu Ujenzi wa nyumba!

Address

Kibaha Pwani
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ASILO Construction Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share