Bucha Mtandao

Bucha Mtandao Karibu Sihai Bucha Mtandao – Sisi ni Wavuvi, Wachakataji, na Wauzaji wa Samaki waliogandishwa kwa vifaa vyetu bora na vya kuaminika.

Tunavua na kuuza Samaki wa aina zote k**a vile Sato, Sangara, Migebuka, Kamba Asili, na Ngisi. Karibu Bucha Mtandao – Sisi ni Wavuvi, Wachakataji, na Wauzaji wa Samaki waliogandishwa kwa vifaa vyetu bora na vya kuaminika. Tunavua na kuuza Samaki wa aina zote k**a vile Sato, Sangara, Migebuka, Kamba Asili (Wild Prawns), na Ngisi (Squid). Samaki wetu ni safi, wanapatikana kwa ubora wa hali ya juu, n

a hufanyiwa uchakataji wa kisasa ili kuhifadhi virutubisho vyote. Tunahakikisha kila mteja anapata Samaki bora wanaokuza afya yake na ustawi wa familia yake.

01/03/2025

Watch, follow, and discover more trending content.

18/01/2025

Samaki wetu wanapovuliwa kwa MELI mara moja wanawekwa katika Mitambo ya kuwagandisha katika Nyuzi Joto( Temperature) ya Hasi 30 humo humo Melini. Joto kiasi hicho ndilo kisayansi linatosha kuhifadhi vitamins na virutubisho vilivyomo katika Samaki tofauti na tofauti na wale Samaki tuliowazoea kuwaona au kuwatumia wakihifadhiwa kwa Barafu(ice Flakes or Cubes).

Vile vile, Samaki wetu kutoka Melini au wanapotolewa kwenye Bohari( Coldroom) mpaka kumfikia Mteja hawana uwezekano wowote wa kukutana na Bacteria au wadudu wengine wenye madhara kiafya( Non-Contamination Delivery).

Basi, tunakusihi kuanzia sasa unapofanya maamuzi ya kununua Samaki uzingatie Upatikanaji wake,uchakataji wake katika kuhifadhi Vitamins na Madini mengine,Utunzaji wake sawia na Jinsi wanavyokufikia Mlaji.

Weka Oda yako Sasa 0627 878 888

SAMAKI WETU  NI SAMAKI WANAOVULIWA NA MELI ZETU ZA KISASA NA KUHIFADHIWA MARA MOJA KWA JOTO LINALOHAKIKISHA UBAOLOJIA WA...
07/01/2025

SAMAKI WETU NI SAMAKI WANAOVULIWA NA MELI ZETU ZA KISASA NA KUHIFADHIWA MARA MOJA KWA JOTO LINALOHAKIKISHA UBAOLOJIA WAKE UNABAKIA VILE VILE (ON-BOARD PROCESSING) TOFAUTI NA WALE. WANAOHIFADHIWA KWA BARAFU TU.

TUNAKUSHAURI MARA ZOTE UNAPOFIKIRIA KUNUNUA SAMAKI WA KITOWEO AU BIASHARA, BASI NUNUNUA SAMAKI WA BUCHA MTANDAO KUTOKANA NA BEI ZETU KUWA NAFUU NA SAMAKI WETU NI WENYE VIRUTUBISHO VILIVYOHIFADHIWA.

https://chat.whatsapp.com/IpjOb4NZGiZH0s8Nu28SNk

MZIGO MPYA UMEINGIA WAHI SASA...KWA BEI NAFUUWEKA ODA MAPEMA KUPITIA WHATSAPP 0627 878 888DELIVERY POPOTE DAR ES SALAAM
04/01/2025

MZIGO MPYA UMEINGIA WAHI SASA...KWA BEI NAFUU
WEKA ODA MAPEMA KUPITIA WHATSAPP 0627 878 888
DELIVERY POPOTE DAR ES SALAAM

Karibu Bucha Mtandao, Pata Samaki Fresh kutoka Baharini na Ziwani kwa bei nafuu zaidi.Weka Oda yako Sasa, utaletewa popo...
04/01/2025

Karibu Bucha Mtandao, Pata Samaki Fresh kutoka Baharini na Ziwani kwa bei nafuu zaidi.
Weka Oda yako Sasa, utaletewa popote ulipo ndani ya Dar es Salaam.
Weka Oda kupitia WhatsApp / CALL 0627 878 888
AU JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP KUPITIA LINK KWENYE BIO YETU

Tunapatikana Magogoni Kigamboni Dar es Salaam karibu na Mikadi Beach

Tunavua na kuuza Samaki waliogandishwa kwa nyuzi joto -30°C, Usikose fursa ya kununua Samaki wazuri na Fresh. Tunafanya ...
02/01/2025

Tunavua na kuuza Samaki waliogandishwa kwa nyuzi joto -30°C, Usikose fursa ya kununua Samaki wazuri na Fresh.
Tunafanya Delivery popote ndani ya Dar es Salaam
Kwa Order tupigie Simu au WhatsApp +255 627 878 888

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - 20 POSTS
23/12/2024

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - 20 POSTS

21/12/2024

Address

Magogoni, Kigamboni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bucha Mtandao posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category