28/04/2024
Vyoo, sink za vyooni na jikoni tunauza kwa bei nafuu. kwa wenye mahitaji ya vyoo, sink ya bafuni na jikoni wasiliana nasi kwa ajili ya manunuzi na kuweka order zako na kwa wale wanaohitaji kutumiwa mizigo tunatuma pia kwa gharama ya mteja popote pale ulipo kwa Dar es Salaam ila kwa wale wa manunuzi na kutaka kuona bidhaa basi tunapatikana kariako na mawasiliano yetu yanapatikana kwa number inayoonekana kwenye picha hapo chini. Fanya manunuzi ya mahitaji yako ya vyoo na sink zenye ubora na gharama nafuu kutoka vienna. Chagua Vienna kwa bidhaa bora zaidi