Dar.Dealz

Dar.Dealz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dar.Dealz, Shopping & retail, Dar es-Salaam, Dar es Salaam.

07/11/2018
NEW MODEL ANT-THEFT BACKPACK Ni Begi imara zenye sifa za kipekee.• ULINZI wa hali ya juu - Zipu yake ipo Mgongoni Mwizi ...
28/10/2018

NEW MODEL ANT-THEFT BACKPACK Ni Begi imara zenye sifa za kipekee.
• ULINZI wa hali ya juu - Zipu yake ipo Mgongoni Mwizi hawezi kufungua k**a umelivaa.
• HALINGIZI MAJI - Sehemu yake ya Mbele limetengenezwa kwa material maalumu isiyopitisha maji.
• KUCHAJI SIMU - Lina uwezo wa kuchaji simu kwani linakuja na wire maalumu ambayo ndani unaweka PowerBank na kuchaji simu kwa USB port iliyopo nje.
• REFLECTOR - Sehemu yake ya Mbele lina alama ya Reflector ambayo inaonekana zaidi wakati wa Usiku ili kuongeza Ulinzi
• NAFASI - Lina partitions nyingi za kuweka vitu vyako vikapangika kwa usalama k**a vile Laptop, tablet, Headphones, Books na mengineyo
-More Secure
-WaterProof mateial
-USB charging port
-Night security
-More Space
Bei ni 95000tzs tuu .
Contact us 0738464273/0676562664
Location: CENTRE MALL 0676562664📞0738464273📞

Millitary Bluetooth skmei    🔹call remind🔹app remind🔹distance🔹calorie🔹pedometerAnd many unique features .Bei ya Offer - ...
27/10/2018

Millitary Bluetooth skmei
🔹call remind
🔹app remind
🔹distance
🔹calorie
🔹pedometer
And many unique features .
Bei ya Offer - 75000tzs tuu
Wasiliana nasi 📞0676562664
Tupo CENTRE MALL PIA TUNAUZA JUMLA NA REJAREJA MIKOWANI TUNATUMA KWA GHARAMA NAFUU KABISA POPOTE ULIPO UNALETEWA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI NAMBA ZIKO JUU HAPO

Jee wewe unasumbuliwa na maumivu ya Mgongo, Kiuno, Shingo, Mabega na viungo vyengine vya mwili??? K**a jibu NDIOSuluhish...
26/10/2018

Jee wewe unasumbuliwa na maumivu ya Mgongo, Kiuno, Shingo, Mabega na viungo vyengine vya mwili??? K**a jibu NDIO
Suluhisho la tatizo lako ni hili hapa 👇
Tumia kifaa maalumu cha kukandia (massage) sehemu unayohisi maumivu ama mwili mzima. Kifaa hichi kina kinaitwa kinatumia betri au umeme
Kwa kutumia kifaa hiki kufanya massage utapata faida zifuatazo👇
• Massage huboresha mzunguko wa damu mwilini
• Massage inaboresha afya ya ngozi
• Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri
• Massage husafisha ngozi na kuboresha mfumo wa utoaji takamwili
• Massage huondoa uchovu wa mwili na kukosa usingizi
• Massage huboresha mmeng'enyo wa chakula na kuzuia Constipation (choo ngumu)
• Massage hupunguza maumivu ya uchungu kwa wamama wajawazito
• Massage huondoa uchovu na kuvimba kwa miguu kwa wamama wajawazito
• Massage huimarisha mifupa kwa kuchochea ufyonzwaji wa Madini ya Kalsiam(Calcium) na Fosforas
• Massage huzuia Stroke/ kiharusi
• Massage inasaidia sana kwa wazee kuimarisha misuli na kuwapa nguvu ya kutembea
Tutakusaidia kupata kifaa hiki kwa Gharama ya 25000tzs tu + +
Kifaa hiki kinapatikana katika rangi nne (4) | | |
Tupo Daressalaam , Nyerere Road
Wasiliana nasi📞0676562664 /0738464273

Address

Dar Es-Salaam
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255676562664

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dar.Dealz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share