Bijo Mawe

Bijo Mawe Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bijo Mawe, Dar es Salaam.

Katika Maisha ADUI Ambaye Hajifichi kwako Huwa Ni Mzuri sana Anakufunza Mambo Mengi Kuliko Adui Usiyemjua.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
25/05/2026

Katika Maisha ADUI Ambaye Hajifichi kwako Huwa Ni Mzuri sana Anakufunza Mambo Mengi Kuliko Adui Usiyemjua.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Usiishi na watu K**a vile hutowahitaji tena kesho, maisha ni fumbo ๐Ÿ™Œ
28/04/2026

Usiishi na watu K**a vile hutowahitaji tena kesho, maisha ni fumbo ๐Ÿ™Œ

โ€œMaisha ni mafupi sana Usiyatumie katika Vita na watu. Jizoeze kukubali kusamehe Na Kuachana yaliyopita ni hatua yako ya...
26/04/2026

โ€œMaisha ni mafupi sana Usiyatumie katika Vita na watu. Jizoeze kukubali kusamehe Na Kuachana yaliyopita ni hatua yako ya kwanza ya furaha.๐Ÿ˜

BABA WA MTOTO ANAMJUA MAMA MIMI SI BABA HALALI WA GHARIB NAJINA LANGU NLIE TOA KWA MTOTO NIMEAMBIWA LINA BADILISHWA KWA ...
01/04/2026

BABA WA MTOTO ANAMJUA MAMA MIMI SI BABA HALALI WA GHARIB NAJINA LANGU NLIE TOA KWA MTOTO NIMEAMBIWA LINA BADILISHWA KWA AYA YOTE NLIYO KUTANA NAYO NASHUKURU SIKO TAYAL TENA KUPAMBANIA KUGOMBELEZEA MTOTO NA KUFOCE NI WANGU NIKO TAYAL KUFANYA MAMBO YANG NEVER BROKE AGAIN ๐Ÿ’ช๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿ’”

๐Ÿ’ฐPESA AINUNUI FURAH NEVER EVER ๐Ÿ’”๐Ÿ’ฐ
22/03/2026

๐Ÿ’ฐPESA AINUNUI FURAH NEVER EVER ๐Ÿ’”๐Ÿ’ฐ

Huwa tunakutana na watu maishaniKwasababu maalumu . Wengine huja k**aBaraka na wengine huja k**a funzo ...!!!
22/03/2026

Huwa tunakutana na watu maishani
Kwasababu maalumu . Wengine huja k**a
Baraka na wengine huja k**a funzo ...!!!

MY LOVEMwenyezi Mungu amekuumba wewe kwa ustadi wa kipekee sana mpenzi Kisha akakupaka rangi za upendo Akakupulizia pumz...
20/02/2026

MY LOVE

Mwenyezi Mungu amekuumba wewe kwa ustadi wa kipekee sana mpenzi Kisha akakupaka rangi za upendo Akakupulizia pumzi ya huruma, Na akakuweka Duniani kwa ajili yangu๐Ÿ˜๐Ÿ˜โค๏ธโค๏ธ

Ulimwengu unaweza kuniita chizi, lakini ninafurahi kuwa uchizi huu ni juu yako! Mwanangu , nakupenda!๐Ÿ˜
20/02/2026

Ulimwengu unaweza kuniita chizi, lakini ninafurahi kuwa uchizi huu ni juu yako! Mwanangu , nakupenda!๐Ÿ˜

โ€œNinapokutazama najiuliza nilifanya jambo Gani jema kupata zawadi hii nzuri kutoka kwa Mungu. Umekuwa baraka katika mais...
20/02/2026

โ€œNinapokutazama najiuliza nilifanya jambo Gani jema kupata zawadi hii nzuri kutoka kwa Mungu. Umekuwa baraka katika maisha yangu na yote ni kwasababu nakupenda. Mwanangu๐Ÿ˜๐Ÿ˜โ€

Tabasamu na furaha yako, ni kipimo tosha cha kubeba na kuimili matatizo uliyonayo kuyaona k**a fursa yakufikia mafanikio...
14/12/2025

Tabasamu na furaha yako, ni kipimo tosha cha kubeba na kuimili matatizo uliyonayo kuyaona k**a fursa yakufikia mafanikio yako.๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Uaminifu haupimwi kwa maneno bali kwa matendo. Usiishie kumwambia mpenzi au mwenza wako ya kwamba mimi ni mwaminifu kwak...
10/10/2025

Uaminifu haupimwi kwa maneno bali kwa matendo. Usiishie kumwambia mpenzi au mwenza wako ya kwamba mimi ni mwaminifu kwako bali onyesha Matendo

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bijo Mawe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share