Kikuu Tanzania

Kikuu Tanzania KiKUU is a leading cross-border e-commerce platform dedicated to connecting trusted Chinese suppliers with customers across Africa. KARIBU KiKUU.

By combining affordable products, reliable logistics, and localized customer support.

πŸ’₯ FACTORY PRICE DEAL! πŸ’₯Pata bidhaa bora kabisa kwa bei ya kiwandani bila dalali! Kuanzia mikoba ya kisasa, headphones, h...
10/08/2026

πŸ’₯ FACTORY PRICE DEAL! πŸ’₯
Pata bidhaa bora kabisa kwa bei ya kiwandani bila dalali! Kuanzia mikoba ya kisasa, headphones, hadi vifaa vya nyumbani β€” vyote vinapatikana KiKUU. πŸ›οΈβœ¨

πŸ‘‰ Pakua app ya KiKUU sasa uanze kuagiza kwa bei nafuu zaidi!
🚚 Delivery mpaka mlangoni kwako.

Gari lako linahitaji matengenezo madogo madogo? Usihangaike! πŸš—πŸ› οΈPata Set ya Klipu za Gari (Product Code: 2689066) zenye ...
16/07/2026

Gari lako linahitaji matengenezo madogo madogo? Usihangaike! πŸš—πŸ› οΈ

Pata Set ya Klipu za Gari (Product Code: 2689066) zenye aina mbalimbali za fasteners zinazokusaidia kurekebisha sehemu mbalimbali za gari lako kwa urahisi na haraka. Ni bidhaa bora, imara, na ina .

Chukua matukio yote kwa simu yako uwapo barabarani kwa urahii kwa kutumia Car Phone Holder hii Imara. (Product code: 290...
16/07/2026

Chukua matukio yote kwa simu yako uwapo barabarani kwa urahii kwa kutumia Car Phone Holder hii Imara. (Product code: 2908883). Pakua APP ya KiKUU ujipatie yako sasa.

JIPATIE; Car Phone Holder imara yenye suction cup inayoshika vizuri bila kuteleza. Inapatika kwetu KiKUU kwa bei rahisi....
15/07/2026

JIPATIE; Car Phone Holder imara yenye suction cup inayoshika vizuri bila kuteleza. Inapatika kwetu KiKUU kwa bei rahisi.

Pakua App ya KiKUU na search Product code:2698559

Umeshawahi kufikiria kuwa na miwani inayofanya zaidi ya kuvaa tu?  Smart Glasses hizi mpya zinapatikana KiKUU. βœ… Ongea n...
15/07/2026

Umeshawahi kufikiria kuwa na miwani inayofanya zaidi ya kuvaa tu? Smart Glasses hizi mpya zinapatikana KiKUU.

βœ… Ongea na simu bila kugusa simu.
βœ… Piga picha na video popote ulipo kwa urahisi.
βœ… Muonekano wa kisasa, Unafaa kwa kila tukio.

πŸ‘‰ Agiza sasa kwa kusearch product code:3014005

Jipatie  High-quality Quartz Comfort Exquisite Leather Wristwatch Four-pin Dial Multi-function Seiko Mens Watch kutoka K...
14/07/2026

Jipatie High-quality Quartz Comfort Exquisite Leather Wristwatch Four-pin Dial Multi-function Seiko Mens Watch kutoka KiKUU. Download KiKUU App sasa.

Product code: 2862738

Boresha kasi ya intaneti kwenye Kompyuta yako! πŸš€Umechoka na WiFi inayoyumba? Pata Derrapid 1300M WiFi Adapter na ufurahi...
14/07/2026

Boresha kasi ya intaneti kwenye Kompyuta yako! πŸš€

Umechoka na WiFi inayoyumba? Pata Derrapid 1300M WiFi Adapter na ufurahie kasi ya ajabu ya 2.4GHz/5GHz. Ni rahisi kutumia (Driver Free), unachomeka tu na kuanza kufanya kazi!

βœ… Kasi ya hali ya juu.
βœ… Inafaa kwa Gaming na Streaming.
βœ… Antena yenye nguvu kwa signal imara.

πŸ“ Pata yako sasa kwa bei nafuu!
πŸ“Œ Product code: 3034197

Pendeza na KiKUU! πŸ˜‰ Pakua App ya KiKUU sasa kwenye Play Store au App Store ufaidike na ofa kabambe za mwezi huu. Bonyeza...
18/06/2026

Pendeza na KiKUU! πŸ˜‰ Pakua App ya KiKUU sasa kwenye Play Store au App Store ufaidike na ofa kabambe za mwezi huu. Bonyeza link kwenye bio.

Muonekano wa kijanja hauhitaji gharama kubwa. πŸ’Όβœ¨ New Arrivals, πŸ’ΈπŸ’Έ  Low Prices. Usipitwe na punguzo la mwezi huu wa Juni!...
17/06/2026

Muonekano wa kijanja hauhitaji gharama kubwa.
πŸ’Όβœ¨ New Arrivals,
πŸ’ΈπŸ’Έ Low Prices.
Usipitwe na punguzo la mwezi huu wa Juni!

⚠️ TAHADHARI DHIDI YA UTAPELI WA MTANDAONI ⚠️Wateja wetu wapendwa, tafadhali kuwa makini na kurasa na matangazo bandia y...
17/06/2026

⚠️ TAHADHARI DHIDI YA UTAPELI WA MTANDAONI ⚠️

Wateja wetu wapendwa, tafadhali kuwa makini na kurasa na matangazo bandia yanayotumia jina la KiKUU kwenye mitandao ya kijamii. Matapeli wanaweza kutumia picha na taarifa zinazofanana na za KiKUU ili kuwahadaa watumiaji na kuwaelekeza kwenye tovuti zisizo rasmi.

βœ… Nunua kupitia App rasmi ya KiKUU au tovuti rasmi pekee.
βœ… Fanya malipo kupitia njia rasmi zilizopo ndani ya App.
❌ Usitume fedha kwenye akaunti binafsi au viungo usivyoviamini.

Ukikutana na ukurasa au tangazo linalotia shaka, ripoti mara moja na wasiliana na huduma kwa wateja wa KiKUU.

Linda taarifa zako binafsi na fedha zako.

Address

1st Floor, Room #026, Shoppers Plaza, Mikocheni A, Kinondoni
Dar Es Salaam
14112

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kikuu Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share