Mokusaku.Farmtime

Mokusaku.Farmtime Dedicated to deliver organic fertilizer solutions to farmers in every scale by championing supply ac

MOKUSAKU BIOLOGICAL PHOSPHATE FERTILIZER:ni mbolea ya kibiologia ikiwa na maana imepandikizwa microorganisms muhimu aina...
26/05/2026

MOKUSAKU BIOLOGICAL PHOSPHATE FERTILIZER:ni mbolea ya kibiologia ikiwa na maana imepandikizwa microorganisms muhimu aina mbali mbali.

Kuongeza microorganisms kwenye udongo kuna faida kubwa kwenye ufanisi wa mbolea za chumvi.

Kwa kiwango fulani mbolea za chumvi k**a DAP, UREA, SA, CAN nk. zinategemea microorganisms wa kwenye udongo ili ziwe na ufanisi mkubwa zaidi. Ingawa mbolea hizi zina virutubisho tayari, microbes husaidia kubadilisha, kusafirisha na kufanya virutubisho vipatikane vizuri kwa mmea.

Mfano:

* UREA → haiwezi kutumika moja kwa moja vizuri mpaka bacteria wenye enzyme ya urease waibadilishe kuwa ammonium. Baadaye bacteria wengine wa nitrification hubadilisha ammonium kuwa nitrate ambayo mmea hutumia sana.
* DAP → phosphorus yake inaweza kufungwa kwenye udongo hasa wenye pH ya juu au chini. Microorganisms wanasaidia ku-solubilize phosphorus ili mmea aipate vizuri.
* SA na CAN → tayari zina nitrogen inayopatikana haraka, lakini microbes bado husaidia kwenye mzunguko wa nitrogen na afya ya mizizi ili uptake iwe bora.

Faida za microorganisms kwenye matumizi ya hizi mbolea:

* Kuongeza nutrient availability
* Kuboresha mizizi na uptake
* Kupunguza upotevu wa nitrogen
* Kuboresha soil structure
* Kuongeza organic matter breakdown

Ndiyo maana kwenye udongo uliokufa biologically:

* Mbolea za chumvi zinaweza kufanya kazi lakini efficiency huwa chini
* Mara nyingi unahitaji kiwango kikubwa zaidi kupata matokeo sawa
* Leaching na volatilization huongezeka

Kuchanganya mbolea za chumvi na:

* compost,
* bokashi,
* microbial inoculants,
* humic/fulvic acid,
* amino acids

mara nyingi huongeza efficiency yake sana.

Lakini pia ni muhimu kujua:

* matumizi makubwa sana ya chumvi kwa muda mrefu yanaweza kupunguza baadhi ya microorganisms wazuri kwa kuongeza salinity na kushusha organic matter.
* Hivyo balance kati ya biological na chemical fertility huwa bora zaidi kuliko kutegemea upande mmoja tu.

The real success often begins underground!Below every productive field exists an invisible ecosystem made up of billions...
24/05/2026

The real success often begins underground!
Below every productive field exists an invisible ecosystem made up of billions of microorganisms, fungi, beneficial bacteria, organic matter, roots, and natural nutrient cycles working together continuously.
This hidden biological world is what keeps soil alive.
Healthy soil is not just a mixture of sand, clay, and nutrients It is a living ecosystem.

Beneficial microbes help;
✓Break down organic matter
✓Improve nutrient availability
✓Support root development
✓Increase stress tolerance
✓Improve soil structure
✓Enhance water retention
✓Suppress harmful pathogens naturally

Visit www.mokusaku.com Call/WhatsApp +255 699 177 935

Dhibiti na punguza pressure ya ugonjwa wa MNYAUKO (fusarium wilt) KINGA NI BORA KULIKO TIBA chanja udongo wako na MOKUSA...
09/05/2026

Dhibiti na punguza pressure ya ugonjwa wa MNYAUKO (fusarium wilt) KINGA NI BORA KULIKO TIBA chanja udongo wako na MOKUSAKU OTESHEA.

Dhibiti na punguza pressure ya ugonjwa wa MNAYAUKO ( fusarium wilt) chanja udongo wako na MOKUSAKU OTESHEA.
09/05/2026

Dhibiti na punguza pressure ya ugonjwa wa MNAYAUKO ( fusarium wilt) chanja udongo wako na MOKUSAKU OTESHEA.

🌱 MOKUSAKU BIO PHOSPHATE 🌱Mfuko mmoja wa kg 35 ni sawa na:✅ Tani 3 za samadiAU✅ Tani 1 ya mboji iliyotengenezwa kitaalam...
23/04/2026

🌱 MOKUSAKU BIO PHOSPHATE 🌱

Mfuko mmoja wa kg 35 ni sawa na:
✅ Tani 3 za samadi
AU
✅ Tani 1 ya mboji iliyotengenezwa kitaalam

💡 Acha usumbufu wa kubeba na kutegemea samadi au mboji…
Chagua suluhisho rahisi, safi na lenye nguvu 💪

🌿 Mokusaku ni mbolea hai:
✔️ Huboresha udongo na kuongeza rutuba
✔️ Huchochea ukuaji wa mimea kwa afya bora
✔️ Hutoa kinga ya kibiolojia dhidi ya magonjwa ya ardhini

🚜 Tumia kidogo, pata matokeo makubwa!

MOKUSAKU BIO PHOSPHATE 🌱Mfuko mmoja wa kg 35 ni sawa na:✅ Tani 3 za samadiAU✅ Tani 1 ya mboji iliyotengenezwa kitaalam💡 ...
23/04/2026

MOKUSAKU BIO PHOSPHATE 🌱

Mfuko mmoja wa kg 35 ni sawa na:
✅ Tani 3 za samadi
AU
✅ Tani 1 ya mboji iliyotengenezwa kitaalam

💡 Acha usumbufu wa kubeba na kutegemea samadi au mboji…
Chagua suluhisho rahisi, safi na lenye nguvu 💪

🌿 Mokusaku ni mbolea hai:
✔️ Huboresha udongo na kuongeza rutuba
✔️ Huchochea ukuaji wa mimea kwa afya bora
✔️ Hutoa kinga ya kibiolojia dhidi ya magonjwa ya ardhini

🚜 Tumia kidogo, pata matokeo makubwa!

📦 Inapatikana sasa – usikose kuongeza mavuno yako leo

Unapambana na kuoza kwa kitako kwenye nyanya au matikiti?Suluhisho ni moja tu!MOKUSAKU CAL-PHOS huimarisha seli za mmea ...
17/04/2026

Unapambana na kuoza kwa kitako kwenye nyanya au matikiti?
Suluhisho ni moja tu!

MOKUSAKU CAL-PHOS huimarisha seli za mmea na kuzuia kabisa matatizo ya blossom end rot.

🌱 Tumia leo upate:
✔️ Matunda bora
✔️ Mavuno mengi
✔️ Faida zaidi

Tumia mbolea za kibailojia za MOKUSAKU kwa ubora wa afya ya udongo, mimea, ongezeko la mavuno na usalama wa chakula.Wasi...
12/04/2026

Tumia mbolea za kibailojia za MOKUSAKU kwa ubora wa afya ya udongo, mimea, ongezeko la mavuno na usalama wa chakula.

Wasiliana nasi kupitia www.mokusaku.com Call/WhatsApp +255 699 177 935 ujipatie mbolea zetu sasa!

MOKUSAKU OTESHEA 🌱Sio mbolea tu… ni KINGA na TIBA ya Kibiolojia kwa mazao yako! 💪🚫 Zuia na pambana na:❌ Minyoo fundo (Ne...
12/04/2026

MOKUSAKU OTESHEA 🌱

Sio mbolea tu… ni KINGA na TIBA ya Kibiolojia kwa mazao yako! 💪

🚫 Zuia na pambana na:
❌ Minyoo fundo (Nematodes & Clubroot)
❌ Mnyauko (Fusarium Wilt)
❌ Magonjwa ya kwenye udongo

✅ Pata faida hizi:
✔️ Mizizi imara na yenye afya
✔️ Ukuaji wa haraka wa mmea
✔️ Mavuno mengi na yenye ubora

🔥 Suluhisho linaanzia kwenye UDONGO!

👉 Tumia Mokusaku Oteshea leo — uone tofauti kwa macho yako!

📦 Inapatikana sasa (35kg)
📲 Wasiliana nasi kupata yako

AfyaYaUdongo Mokusaku Otesh

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mokusaku.Farmtime posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share