14/05/2026
📚 TAFAKKUR YA LEO 📚
Darasani unaweza kupewa mwanga wa elimu, lakini vitabu vinakupa upeo mpana wa maisha.
Msomaji wa vitabu hujijengea akili, maarifa na uwezo wa kuona mbali zaidi ya wengine.
Usiache kusoma…
Kila ukurasa unaousoma ni hatua mpya ya mafanikio yako. ✨
Unapendelea vitabu gani leo?????