The winner group

The winner group Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The winner group, Shopping & retail, Box 33, Karatu, Arusha.

14/07/2023

1.) The NEWS is fake.

The world's most powerful people and elite groups do not want you to be aware of the true world.

That is why they are controlling you through the News.

As a result, every news channel sounds the same.

Avoid the news and concentrate on your journey.

08/06/2023

Kusambaza viatu vya watoto
wadogo wa miaka 4 hadi 10 katika nchi za Afrika
mashariki hadi kufikia desemba 2025.”

I walked into a hotel's restaurant and after going through the menu, I ordered some food. After about 20mins a group of ...
09/12/2019

I walked into a hotel's restaurant and after going through the menu, I ordered some food. After about 20mins a group of guys and ladies walked in & ordered for theirs. To my dismay, these folks got served first. I watched as they began to eat& laugh heartily. I even overheard one of them bragging about how connected he is to everyone in the hotel & I felt mocked. I decided to leave. Unable to take it anymore, I called the waiter. He calmly told me: "yours is a special order, being prepared by the chief chef himself. Their orders were prepared hurriedly by students on attachment because the top chefs are busy with yours sir. That's why they were served first. Please have some juice as you wait". I calmed down & waited patiently.
Shortly after, my meal was served by 6 waiters. Unknown to me, the owner of the hotel (who happened to be an old long lost friend of mine) saw me when I entered and decided to surprise me. She changed my simple meal to a five-star meal. The party at the other table were shocked. They couldn't stop staring. Suddenly they were the ones murmuring, asking why they didn't get that kind of service and meal.
Such is life! Some people are ahead of you and are eating now, laughing at you and talking about how they are smarter, wiser and better than you, how they are well connected, blessed, have money and are enjoying life.

You are waiting tirelessly wondering why it's taking so long to breakthrough, You endure mockery and humiliation.

Maybe you have contemplated su***de, gone through depression or suffered severe mental anxiety. Do not worry! The owner of the world has seen u & doesn't want u to be served a simple meal like those making mockery. You're waiting long because yours is a special meal. It takes time to prepare. And only chief chefs prepare them.

Wait for your meal and relax. When it comes that laughing party will be silenced for good.

Stay Blessed and have a beautiful week. This is my word of encouragement to you today.🙏

FACTS

When u get sick, he calls, when he gets sick, he still calls.     you have Airtime He calls, u don't have airtime he sti...
06/12/2019

When u get sick, he calls, when he gets sick, he still calls.
you have Airtime He calls, u don't have airtime he still calls.
Your birthday He buys u a Gift, His birthday he still takes u out.
He sends u money, and still calls to confirm if you've received an alert, u only flashed Him and u re already scolding him to know y he hasn't called back.
He invited u for a lunch, took care of your bills, u only dressed better than him, but u couldn't afford your transport.
He met u with your friends u sounded rudely, you met him with his friends he was Caring & polite.
He secretly borrowed money to give u, u always told him the money is too small.
Things turn around for him for good and he became very rich, he left u, Too late, You re now ready to love him and u are shading tears, deceiving other women saying; u were their for him when he had nothing, all guys are same..
Your impact in a relationship would determine if a man will marry u, and not your presence.

Kila utakapoamua KUFANYA ama KUSIMAMIA kitu fulani kuna WATU na MATUKIO ambayo yatakuja ili kukutoa kwenye MSTARI yenye ...
09/10/2019

Kila utakapoamua KUFANYA ama KUSIMAMIA kitu fulani kuna WATU na MATUKIO ambayo yatakuja ili kukutoa kwenye MSTARI yenye nia ya kukupoteza utoke kwenye “FOCUS” yako.Hii ndio maana kila siku lazima udhamirie kutumia MUDA mwingi katika ulichoamua kufanya zaidi ya kitu kingine chochote.
Winston Churchil aliwahi kusema “Hauwezi kufikia hatima yako k**a kila Mbwa anayekubwekea unasimama na kuanza kumrushia mawe”(You will never reach your destiny if you stop and throw stones to every dog that barks).
Kila siku kwenye maisha yako kuna “Mbwa” ambao wametumwa kukutoa kwenye mstari wako.Baadhi yao huja kabisa kwa njia ya KUKOSOA,KUKUKATISHA TAMAA,KUKUHAMISHA hoja n.k nia yao kubwa hapa ni uache kile unachofanya na uanze KUSHUGHULIKA nao.Usipokuwa makini utajikuta unatumia nguvu kubwa kudeal nao badala ya KUSONGA mbele.Be Smart.
Wengine watakuja k**a wana nia nzuri kwa kuleta FURSA ambayo inaonekana nzuri sana ambayo itakufanya uanze kuitamani na kuacha ulichodhamiria kufanya.Kumbuka sio kila FURSA NZURI ni fursa SAHIHI kwako:Jua kutofautisha.Kumbuka fursa nzuri hazitaisha kial siku zitakuja mpya,ni wajibu wako kuamua na kuchagua UNACHOTAKA kwenye maisha.
Leo kuna “Mbwa” wengi wamejiandaa kukubwekea ili wakutoe kwenye mstari, uwe makini usipoteze muda kushughulika nao,weka NGUVU na MUDA wako katika jambo MUHIMU.Kumbuka ukianza kuwarushia mawe ndio FURAHA na USHINDI wao na wataongeza SAUTI ya KUKUBWEKEA na wewe utaongeza UBIZE wa kuwarushia mawe mengi zaidi,na hapo utazidi kupoteza muda zaidi.
Ulishawahi kukutana na watu wa namna hii?Vipi wameshaanza KUBWEKA?Wakianza leo waambie “Nimekushtukia,hunitoi nje ya mstari” 😂😂😂
See You At The Top

03/10/2019

MOLINGA mmoja ni =Chama + kagere + shiboub + bocco + kanda + miraj athman.

Tuelewane nazungumzia UZITO sio jambo lingine.

Dunia huwa inatupa kile tunachokitaka na tunakizungumzia kila mara katika midomo yetu. katika jamii zetu kulalamika ndiy...
23/09/2019

Dunia huwa inatupa kile tunachokitaka na tunakizungumzia kila mara katika midomo yetu. katika jamii zetu kulalamika ndiyo utamaduni uliozoeleka, ukienda ofisini watu wanalalamika, kwenye usafiri watu wanalalamika, kwenye nyumba za ibada watu wanalalamika. Hivi ni eneo gani la maisha yako umeona sehemu ambayo watu hawana utamaduni wa kulalamika?
Binadamu tumekuwa ni watu ambao tumekosa shukrani, hata tupewe nini hatuwezi kukosa shukrani. Tunajiona hatuna kitu fulani kwa sababu maisha yetu tumeyaweka katika vitu, tunaishi kwa ulinganishi wa vitu na pale tunapojaribu kulinganisha tunajikuta tunaumia na hatuna kitu.
Hakuna mtu ambaye amejitosheleza kwa kila kitu, tunatakiwa kushukuru kwa kile ambacho kipo ndani mwetu, tusiangalie tumekosa nini, badala yake tukumbuke tumepata nini, tukiwa tunaangalia vile ambavyo tunavyo maisha ni mazuri sana lakini tukiwa tunaangalia vile ambavyo hatuna maisha yanakuwa siyo mazuri sana.
Tunapoteza maana ya maisha yetu pale tunapokuwa tunajilinganisha na watu wengine. maisha yako ni maisha yako, yapende na yafurahie kwa sababu hakuna mtu mwenye maisha mazuri k**a wewe hapa duniani.
Rafiki, siku hii ya leo fanya zoezi la kutolalamika na badala yake fanya zoezi la kushukuru tu, shukuru kwa kile ambacho unacho na siyo kile ambacho huna. Furahia kwa kile ambacho kipo mkononi mwako na usitegemee kile ambacho hakipo mkononi mwako, kitegemee pale ambako tayari umekuwa nacho mkononi lakini vinginevyo hapana.
Kulalamika ni roho ya umasikini, utamaduni wa kulalamika una haribu dunia yetu, tumekuwa na jamii ya watu wanaolalamika kwenye kila eneo la maisha watu wanaolalamika wapo. Dunia ina uhaba wa watu wanaoshukuru ndiyo maana leo nakusihi sana fanya zoezi la kushukuru tu na kufurahia kwa yale ambayo Mungu amekujalia katika maisha yako. sherekea kwa kile ambacho unacho, jione wewe ni wa kipekee na umebarikiwa kuliko watu wote.
Tunaondoa Baraka katika maisha yetu kwa sababu ya kulalamika. Tunajiona ni watu tulioonewa, hivyo tunaona kulalamika ndiyo njia kuu ya kupata kile tunachotaka. Tunapolalamika tunapoteza nguvu na muda hivyo ni bora kukaa kimya k**a umeshindwa kuchukua hatua ya kukibadilisha kile unachotaka kiwe.
Ukiwa unahisi dunia imekutenga, una mawazo hasi basi na mara nyingi utajikuta maisha yako yanafanana na mawazo ambayo yako akilini mwako. Usijiwazie mabaya wala kulalamika, kila siku jione mtu aliyebarikiwa kwenye kila eneo la maisha yako.
Hatua ya kuchukua leo; jione wewe ni mshindi, jitamkie maneno chanya na vunja laana ya kulalamika, unapolalamika juu ya kitu fulani unakuwa unajizibia Baraka eneo hilo, hutaona mazuri bali mabaya tu.
Kwahiyo, maisha ni mazuri k**a tukiwa ni watu wa kushukuru kwa vile ambavyo tunavyo na siyo kulalamika kwa vile ambavyo hatuna.
Kumbuka, ulichonacho kinatosha k**a ukifikiria vya kutosha.

Jey@

Kijana mmoja alienda kuomba kazi katika kampuni ya madini Boss na bodi ya wakurungezi walimwambia kijana huyo kuwa kupat...
11/09/2019

Kijana mmoja alienda kuomba kazi katika kampuni ya madini
Boss na bodi ya wakurungezi walimwambia kijana huyo kuwa kupata kazi lazima awe amekuja na kitambulisho kilichosainiwa na waziri au gavana.

Boss: umekuja na kitambulisho kilichosainiwa na waziri au govana?.
Kijana: hapana ila aliyenituma ana cheo kikubwa zaidi ya uliowataja.
Boss: kitambulisho chako kimesainiwa na mkuu wa majeshi au rais?
Kijana: alieniagiza ni zaidi ya mkuu wa majeshi hata rais.
Boss: kijana acha ujinga kabla sijakuweka chini ya ulinzi sema kitambulisho chako kimesainiwa na nani?
Kijana: boss mimi kitambulisho changu kimesainiwa na mwenyezi Mungu.

Boss na wakurugenzi wake walikaa kimya wakimshangaa kijana, baadaye boss akamwambia kijana arudi nyumbani.

Baada ya wiki mbili kupita kijana alipokea barua kutoka kwa boss kuwa ameajiriwa.

IMEANDIKWA NA MWALIMU HABELNOAH

Focusing on.......
31/08/2019

Focusing on.......

26/08/2019

Official Group members are five..

Address

Box 33, Karatu
Arusha
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The winner group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share