21/03/2024
Mkubwa siku zote ni mkubwa tu. Mbele mwiko nyuma daima wameshindwa kuwashawishi wananchi wao. Hizi mechi kubwa timu zetu badala zitengeneze fedha bali zinajikosesha mapato. Al ahly na Mamelod huu ujinga kwao hakuna. Simba SC Tanzania timu yangu nitabaki nawe daima. Simba nguvu moja.