UTG malindi

UTG malindi talents

UTG family
15/04/2026

UTG family

TUMECHOKA KUPEWA KIMOJA Kuna Wanawake huko Narok Magharibi wameandamana kulalamikia kile walichosema kuwa kushuka kwa ut...
27/01/2026

TUMECHOKA KUPEWA KIMOJA

Kuna Wanawake huko Narok Magharibi wameandamana kulalamikia kile walichosema kuwa kushuka kwa utekelezaji wa haki za ndoa majumbani, wakisema ulevi uliokithiri miongoni mwa wanaume umeathiri kwa kiasi kikubwa mahusiano ya ndoa, utulivu wa familia na ustawi wa jamii kwa ujumla.


゚viralシ

Kumbu kumbu 😭 RIP ゚viralシ
25/01/2026

Kumbu kumbu 😭 RIP
゚viralシ

Manu Bayaz Ni msanii ambae hanaga dharau Na nimtu ambae anapenda sana mziki kuliko kazi nayoifanya kwa Sasa
25/01/2026

Manu Bayaz Ni msanii ambae hanaga dharau Na nimtu ambae anapenda sana mziki kuliko kazi nayoifanya kwa Sasa

IMEKUAJ??Pastor James Irungu collapses while trying to hug a tree for 80 hours. Rushed to Murang'a County Hospital. He h...
08/01/2026

IMEKUAJ??
Pastor James Irungu collapses while trying to hug a tree for 80 hours. Rushed to Murang'a County Hospital.

He had already broken Truphena Muthoni's 72-hour Guinness World record and was minutes away from hitting his goal of hugging the tree for 80 hours.

Irungu was attempting an 80-hour tree-hugging challenge to raise awareness about cancer in Murang'a town.

KUNA NINI??Kuna Nini mbna Wana trend hawa
07/01/2026

KUNA NINI??
Kuna Nini mbna Wana trend hawa

Muigizaji Jacline Wolper amesema kuwa anaweza kukaa mwaka mzima bila kufanya chochote na mume wake kwakuwa wote wamekuta...
07/01/2026

Muigizaji Jacline Wolper amesema kuwa anaweza kukaa mwaka mzima bila kufanya chochote na mume wake kwakuwa wote wamekutana hawapendi hayo mambo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
''Sifanyi kabisa sisi wenyewe pia mimi na baba p hatupendi hivyo vitu vya kufanyana fanyana naweza nikakaa mwaka mzima nikawa sawa''Amesema-Jacline Wolper

WAMETAKA KUMUUA Jaribio la kumuua kiongozi wa Burkina Faso latibuliwa, yasema serikali ya kijeshihttps://bbc.in/4jxhUHO
07/01/2026

WAMETAKA KUMUUA
Jaribio la kumuua kiongozi wa Burkina Faso latibuliwa, yasema serikali ya kijeshi

https://bbc.in/4jxhUHO

LOST PERSON ALERT ⚠️ Help me share this with Malindi residents .She's called Georgina , she left home on Monday in searc...
07/01/2026

LOST PERSON ALERT ⚠️

Help me share this with Malindi residents .
She's called Georgina , she left home on Monday in search for water .
Since then she has not been seen again .
If anyone spots her please contact this number +254 740 062957
Thank you in advance.

゚viralシ

Nyevu Fondo yuataka kuwashtaki mgogo Na timatsi🤔
07/01/2026

Nyevu Fondo yuataka kuwashtaki mgogo Na timatsi🤔

Mwenye  anamjua  huyu Mzee afike Complex  hospital kilifi ni mmoja waliopata Ajali hapo Rubis petrol stationCc: Veracute...
06/01/2026

Mwenye anamjua huyu Mzee afike Complex hospital kilifi ni mmoja waliopata Ajali hapo Rubis petrol station

Cc: Veracute
Shampuz Media
゚viralシ

KIJANA AGONGWA AIRPORT GATE AKIWA AMEVALIA HEADPHONES, APELEKWA GENERAL HOSPITAL Kuna ajali imeripotiwa jioni ya leo kat...
06/01/2026

KIJANA AGONGWA AIRPORT GATE AKIWA AMEVALIA HEADPHONES, APELEKWA GENERAL HOSPITAL

Kuna ajali imeripotiwa jioni ya leo katika maeneo ya Malindi Airport Gate baada ya Kijana mmoja kugongwa na gari akiwa anavuka barabara huku akiwa amevalia headphones kwa masikio...

Kwa sasa kijana amepelekwa Malindi General Hospital kwa kutumia tuktuk ili apate matibabu ya hawa...

Watumiaji wa barabara mnaombwa muwe waangalifu sana, hasa wakati wa kuvuka barabara, na kuepuka kuvaa headphones ili kusikia magari yanayokuja na kupiga h***y...
Cc Malindi Kenya

Address

Utgmalindi@gmail. Com
Malindi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UTG malindi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share