official_badru

official_badru Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from official_badru, Shopping & retail, Guangzhou.

18/05/2026
Nimeshiriki katika Kongamano la 62 la Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muu...
01/05/2026

Nimeshiriki katika Kongamano la 62 la Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nimepata nafasi ya kushiriki Kongamano la kuenzi Muungano wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoandaliwa na Sene...
20/04/2026

Nimepata nafasi ya kushiriki Kongamano la kuenzi Muungano wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoandaliwa na Seneti ya vyuo vikuu Mkoa Wa Mjini (kichama), hapa Unguja, Zanzibar.

Nikiwa k**a mtoa mada juu ya "Mchango wa Hayati Abeid Amani Karume na mchango wa wasomi katika kulinda Amani ya Nchi yetu. ", nimepata wasaa wa kubadilishana mawazo na Wanafunzi wa vyuo mbalimbali Zanzibar.

Hongera sana , na kwa ujumla kwa kuendelea kutukuza vijana katika maadili ya uzalendo na uwajibikaji.

KWA HESHIMA KUBWA NA UZALENDO ULIOTUKUKA, NIMECHUKUA FOMU YA KUGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR. NI...
05/03/2026

KWA HESHIMA KUBWA NA UZALENDO ULIOTUKUKA, NIMECHUKUA FOMU YA KUGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR.

NI MATUMAINI YANGU MAKUBWA YA KUWA, MUNGU NI MWEMA NA ATATENDA UTUKUFU WAKE.

Romans 13:1:

07/01/2026
Vijana ndio hazina ya Taifa. Kuna umuhimu mkubwa sana wa kujua nini tunahitaji, Kwa muda gani na Kwa sababu gani. Ni laz...
31/08/2025

Vijana ndio hazina ya Taifa. Kuna umuhimu mkubwa sana wa kujua nini tunahitaji, Kwa muda gani na Kwa sababu gani.

Ni lazima tujue ni nani atakaeweza kutetea maslahi yetu, kuyasemea na kuyafanyia kazi Kwa lengo na shabaha ya kutatua changamoto zetu.

Jibu lipo wazi: Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050 inaeleza wazi juu ya mchango wetu sisi Vijana, wajibu na fursa zetu hadi itakapofika 2050.

Ilani ya uchaguzi ya CCM itaichambua dira hio katika kila miaka mitano juu ya utekelezaji wake na utimizaji wa dira hio.

Viongozi wa CCM Kwa wingi wao walishiriki kutoa maoni na kutengeza Dira hio na wao ndio wana uweledi wa kuitekeleza.

29 October, twende tukawape vibali viongozi wote wa CCM watakaogombania ngazi zote ili waende kutimiza Dira yetu ya maendeleo.




dr.hmwinyi ndio chaguo letu Wazanzibari. na jumuiya zake hususan  zinafanya juhudi kubwa kuona kwamba Dr Hussein Ali Mwi...
31/08/2025

dr.hmwinyi ndio chaguo letu Wazanzibari.

na jumuiya zake hususan zinafanya juhudi kubwa kuona kwamba Dr Hussein Ali Mwinyi anaendelea kuwa Rais wetu wa Zanzibar. Sisi vijana wa Zanzibar tunasema, Dr Mwinyi ndie anaetufaa. Na ndio Rais mwenye maono mazuri na mdau mkubwa wa maendeleo yetu sisi vijana.

Hivyo basi wajibu wetu vijana ni kuhakikisha kuwa ikifika October 29 twende Kwa wingi wetu tukampigie kura Rais wetu wa Zanzibar na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan.

Happy New Year... In this year, just do three things.Travel, travel and travel 🧳. Next stop 🛫
02/01/2025

Happy New Year...

In this year, just do three things.

Travel, travel and travel 🧳. Next stop 🛫

It's been an honour for me to be featured in  journal. As a humble and hardworking staff,  what a courtesy for a well re...
09/11/2023

It's been an honour for me to be featured in journal. As a humble and hardworking staff, what a courtesy for a well renowned National flag carrier airline to post me in their journal. It's a debt to me and I will repay by committing myself for the wellbeing and company's development. I'm so much excited!!!

In addition, please make sure you book your ticket with us through our website www.airtanzania.co.tz / +255 748 773 900

Air Tanzania, "the Wings of Kilimanjaro"

Happy customer service week. From us   Zanzibar.
03/10/2023

Happy customer service week. From us Zanzibar.

Address

Guangzhou

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when official_badru posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share