29/11/2020
USHUHUDA: NILIJIUNGA NA FREEMASON NIKASHINDWA MA SHARTI.
UN VRAI TRAGÉDIE
PARTIE N 1
ECRIT PAR: JOEL MUKONDA
Kwa majina naitwa erick ila wengi wana ni jua k**a baba mu uzisha mboga la majani, miaka miine iliopita nilikua nikifanua biashara yaku uzisha mboga la majani kupita mkoani pamoja na baskeli.
Kwa kweli nili penda Sana kazi yangu kwakua ili nipa kipato cha fedha ya kusomesha watoto wangu na kula kwetu ambapo kijana wangu wa kwanja yupo kidato cha inne wakumfata msichana iko kidato cha pili nawa mwisho iko darasa la Saba lakini hakuchaguliwa kuenda elimu ya juu hivyo sikumuacha akae tu nyumbani, nilimtafutia chuo cha kushona nguo.
Kwa ujumla hakuna sehemu ya maisha yangu ambayo niliwai kufuraia tangu ni zaliwe nime zaliwa katika familia ya umaskini ingawaje nili kua na uwezo mkubwa Sana darasani lakini wazazi wangu walishindwa nisomesha kwani hawakua na kipato cha fedha ya kunisomesha.
Hata hivyo na mimi siku taka kuwaima wanangu elimu niliapa nita pambana kadri ya uwezo wangu kuhakikisha watoto wangu wanasoma ili baadae waje wani komboe kutoka huu ufukara wa umaskini.
Ama kweli tamaa!! Tamaa ili mponja fisi.
Nakumbuka siku moja nikiwa kwenye mihangaiko yangu yaku tembeza mboga nili simamishwa na mtu ambae alikuwa ndani ya gari, k**a sikosei ili kua gari aina (Toyota Yaris M12).
Nili shimama baada ya mtu huyo kunipigia honi zaidi ya mara tatu. Alishusha kiyo na kuniita kwa ishara ya mikono.
Bila Ku sita nili ikokota baskeli yangu mpaka pale alipo kua ameshimama.
"Mnavu na majani ya maboga unauzaje?"
Mtu huyo Ali uliza huku akiwa Ana vua mioni yake ya mweusi aliyo kua na vaa.
Wataalam wa mambo ya urembo wanaiita "winted''. Alipo vua tu miwani yake naku ni tizama machoni nusura niwehike kwani alikuwa mtu ambae siku tegemea Kuonana nae, tulipoteana mda mrefu.
Samahani Brother mbona k**a naku fahamu" nili muuliza huku tuki tazamana kwa kuvuta fikra, hata yeye Ali onekana kuni fananisha.
"Mbona hata wewe sio mgeni machoni mwangu ila jina tu ndo nimesahau''
Ali ni jibu huku akiwa Ana ni angalia machoni,
"Wewe si Jonas mtema wewe"
Nili mkumbusha kwa jina la utani kwakua alikua akipenda Sana kuwachoma wenjie na ma jina ya utani kipindi tulikua tuna soma alikua akiitwa Jonas safiri.
Haa Erick ni wewe ama ni baba yako?"
Mbona umezeeka hivi ndugu yangu? Aliniuliza huku akiwa Ana ni angalia chini mpaka juu.
Nilikua na nywele ndefu zenye rangi ya udongo ( shokoo), sio kwamba zikikua mchafu la hashaa!
Bali zili kosa matunjo, miguu nilivaa viatu ya rangi tofauti.
Ah! Nima jukumu tu ndugu yangu, Mwenzio nasomesha. nili jitetea huku macho yangu yakianja kuleta matando ya machozi, alini angalia bila kupepesa macho kana kwamba alikua akinisikitia akaanja kusema:
Hata k**a una somesha Erick, hivi sio wewe ulio kua na shika namba moja shuleni? Ali niuliza kwa Ku ni kumbusha.
Naweza kusema swali hilo Lili nitia uchungu, lakini alikua na haki yaku ni uliza hivyo.
Sikumjibu lolote zaidi yaku mwambia tuachane na hayo tu ongelee kuhusu maisha.
Nilianza kumu uliza yeye alikuwa akifanya kazi gani, aliniambia yeye ni mfanya biashara mkubwa isipo kua hata yeye haku tegemea kwamba siku moja kuwa ata pata mafanikio makubwa ka hayo aliyo nayo. Nika muuliza kwanini, akasema lipo shirika moja ambayo yeye Lili muwezesha yeye kutajirika na hatimae ku ondoka na umaskini kabisa
Hapo sasa na mimi nikaanja kupata mshawasha wa kuijua kambuni hio.
"Hm! Hiyo kampuni iko wapi ndugu yangu nami nikajiunge, nime choka ku fedheka" nilimueleza kisha aka niambia kuna namba za simu ata nipa kisha nami nita piga kwa muda wangu kisha nita mueleza atakae pokea simu kwamba Nina shida la kujiunga na shirika lao" Ali niambia hivi lakini aka nipa onyo kwamba endapo nita ulizwa namba yao nimeitoa wapi nisimtaje!.
Nili mwambia kuhusu lile atoe shaka mimi ni mtu mkubwa nita jua namna yaku jielezea, nilipo muambia hayo alini andikia namba za simu pamoja naza kwake kwenye ki karitasi Kisha akatoa pesa ya kikongomani mfukoni zaidi ya elfu makumi mbili ama ( 20 000fc) na aka chukua mchicha fungo mbili ambayo alikua asha chagua, nilipo taka kumrudishia chenji alikataa akasema hiyo ita ni Saidia kununua vocha (unité).
Baada ya hapo tuka agana ....
JE NINI KITAENDELEA HAPO
USIKOSE KOSE SEHEMU YA PILI KESHO NA 20H 00.
USI SAHAU KU AIMÉ PAGE YA
PIA PARTAGER NDANI YAMA GROUPE ZAKO PAMOJA NA RAFIKI ZAKO ILI UPATE WA KWANZA KILICHO MKUTA ERICK .
0972930796 CONTACT WHATSAPP JOEL MUKONDA ÉCRIVAIN