Injili iokoayo Kilakitu kwaimani

13/08/2022

:Simba 1-2 Yanga

Sakho 16'
Mayele 50' 81'

13/08/2022

Yanga jitambulisheni kwa emoji moja yenye hadhi ya comeback tafadhali……

17/07/2022

Orodha ya silaha ambazo nchi za Magharibi zinapanga kutoa au kuuza kwa Ukraine ilibadilika.

16/07/2022

Bermuda triangle ni eneo lililopo katika bahari ya Atlantic ocean ,eneo hili kwa jina lingine ni devils triangle na katika eneo hili chombo chochote kile cha usafiri wa anga au majini kikipita ni lazma kizame bila sababu yeyote ,kwa miaka mingi sana watafiti na wanasayansi wamejaribu kuchunguza kwa kina juu ya tatizo la ajari katika eneo la Bermuda triangle lakini hawajapata majibu yeyote mpaka wamefikia hatua ya kutoa onyo kwa marubani na manahodha ya kwamba wasipite katika eneo hilo kwa usalama wao ,watu wakiimani wamekuwa wakiamini kuwa eneo hilo ndio lango la kuzimu

28/06/2022
20/05/2022

Bunge la Russia linatarajiwa kujadili mswada utakaoruhusu raia wenye umri wa zaidi ya miaka 40 na raia wa kigeni wanaoishi nchini humo wenye umri wa kuanzia miaka 30 kujiunga na jeshi.

20/05/2022

Marekani kuwahami wanajeshi wa Ukraine na makombora ya kushambulia meli za kivita za Urusi

https://bbc.in/3sOJw25

22/04/2022
21/04/2022

Urusi imeionya Marekani na Mataifa mengine washirika wengine kutokana na kitendo cha kuipa silaha Ukraine, onyo hilo limetolewa kupitia barua rasmi ya kidiplomasia kutoka Urusi, ambayo nakala yake imepitiwa na vyombo vya habari nchini Marekani.

Barua hiyo ya kidiplomasia ya kurasa mbili iliyotumwa kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na Ubalozi wa Urusi mjini Washington inaonya kwamba shehena za silaha za Marekani na NATO zinachochea mzozo wa Ukraine na inaweza kusababisha kile Wanadiplomasia wa Urusi wanaita matokeo yasiyotabirika.

Itakumbukwa Rais Biden aliidhinisha usafirishaji wa msaada wa kijeshi wa USD Milioni 800 ikiwa ni pamoja na silaha za masafa marefu k**a vile howitzers kwa lengo la kulinganisha uwezo wa kijeshi wa Urusi nchini Ukraine.

Adresse

Bx912
Kinshasa

Téléphone

+255753697415

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Injili iokoayo publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager