Kilimo Kwanza Kagera

Kilimo Kwanza Kagera WAUZAJI WA:
Pembejeo za Kilimo|Dawa za Mifugo| Kutoa Ushauri Kwa Wakulima bure.

🌾LINDA MAZAO YAKO 🌾  Bidhaa hizi zinafanya  kazi nzuri sana kwa wakulima wengi na matokeo yake ni ya uhakika 💯 ✅BAMIC 2....
10/05/2026

🌾LINDA MAZAO YAKO 🌾
Bidhaa hizi zinafanya kazi nzuri sana kwa wakulima wengi na matokeo yake ni ya uhakika 💯

✅BAMIC 2.0Ec
✅DUDU-ACELAMETCIN
✅INNOVEX 360SC
✅DUDUBA 450EC

🪴Hulinda mazao dhidi ya wadudu,magonjwa na uharibifu wa mimea .
📍Zinapatikana madukani kwetu

📲Karibu upate ushauri wa kitaalamu na bidhaa sahihi kwa shamba lako.

🌍 Heri ya Siku ya Wafanyakazi!Tunawashukuru wafanyakazi wote kwa juhudi, nguvu, na moyo wenu wa kujituma kila siku.Kazi ...
01/05/2026

🌍 Heri ya Siku ya Wafanyakazi!
Tunawashukuru wafanyakazi wote kwa juhudi, nguvu, na moyo wenu wa kujituma kila siku.
Kazi yenu ndiyo msingi wa mafanikio yetu. 💚

🌱Karibu mwezi mpya wa Mei.Mwezi huu tunapanda mbegu, tukiamini mavuno yatakua bora zaidi. Asante kwa kuendelea kutuunga ...
01/05/2026

🌱Karibu mwezi mpya wa Mei.
Mwezi huu tunapanda mbegu, tukiamini mavuno yatakua bora zaidi.
Asante kwa kuendelea kutuunga mkono katika safari yetu ya Kilimo. 🌾
Tuko pamoja kutoka shambani hadi mezani .

Umoja ulijenga taifa letu. Kilimo kinaendeleza maisha yetu. 🇹🇿🌱Katika siku ya muungano, tunaenzi nguvu ya kufanya kazi p...
26/04/2026

Umoja ulijenga taifa letu. Kilimo kinaendeleza maisha yetu. 🇹🇿🌱
Katika siku ya muungano, tunaenzi nguvu ya kufanya kazi pamoja kwa maendeleo ya Tanzania.
Kilimo Kwanza, kwa Tanzania imara.

Happy Easter Monday from Kilimo Kwanza 🌾🐰.                                                                              ...
06/04/2026

Happy Easter Monday from Kilimo Kwanza 🌾🐰.
Katika kipindi hiki cha Pasaka tunawatakia amani,furaha,upendo na baraka tele.
Tunashukuru kwa kuwa sehemu ya safari yetu ya kukuza Kilimo na kujenga kesho iliyo bora.🌱💚.

Tunawatakia wewe na familia yako pasaka njema yenye baraka nyingi.

Kilimo Kwanza inawatakia Ijumaa Kuu njema yenye baraka .🤍✝️
03/04/2026

Kilimo Kwanza inawatakia Ijumaa Kuu njema yenye baraka .🤍✝️

Mwezi mpya wa April mafanikio mapya kwa wakulima wetu .🌱🌽✨                                                          # Gr...
01/04/2026

Mwezi mpya wa April mafanikio mapya kwa wakulima wetu .🌱🌽✨ # GrowWithUs

Mwezi mpya, mafanikio mapya kwa wakulima wetu.🌱📈.                                                                       ...
01/03/2026

Mwezi mpya, mafanikio mapya kwa wakulima wetu.🌱📈.

🎁 Happy Boxing Day from Kilimo Kwanza! 🎁Kushiriki, Kutoa, na Kushukuru! 🤝🌱Tunawaombea siku njema ya Boxing Day iliyojaa ...
26/12/2025

🎁 Happy Boxing Day from Kilimo Kwanza! 🎁

Kushiriki, Kutoa, na Kushukuru! 🤝🌱

Tunawaombea siku njema ya Boxing Day iliyojaa baraka, furaha na mafanikio. Asanteni sana kwa kuendelea kuamini na kushirikiana nasi katika kukuza kilimo na biashara.

📍 TAARIFA MUHIMU YA ENEO (Bukoba Mjini):
Sasa tupo Zamzam – Majengo ya CCM. Karibuni sana!

📌 Matawi mengine yanaendelea kupatikana Kemondo, Maruku na Muleba.

Kilimo Kwanza — pamoja tunakua. 🌾💪

🎄 Merry Christmas from Kilimo Kwanza 🌾Baraka, amani, na mavuno mema kwako na familia yako.As we celebrate the season of ...
24/12/2025

🎄 Merry Christmas from Kilimo Kwanza 🌾

Baraka, amani, na mavuno mema kwako na familia yako.

As we celebrate the season of love and giving, we thank you for trusting Kilimo Kwanza to support your farming journey.

📍 Bukoba Mjini: Sasa tupo ZamZam – Majengo ya CCM.

Tunaendelea kusimama na wakulima wa Kagera na Tanzania kwa ujumla—kwa kilimo chenye tija na maisha bora.

Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya uliojaa mafanikio! 🎄✨

🇹🇿 Tanzania yenye haki na maendeleo inaanzia shambani.
09/12/2025

🇹🇿 Tanzania yenye haki na maendeleo inaanzia shambani.

Adresse

Bukoba Mjini I Kemondo I Maruku
Kagera

Téléphone

+255754512887

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Kilimo Kwanza Kagera publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Kilimo Kwanza Kagera:

Partager