Feyn.co

Feyn.co Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Feyn.co, Shopping Service, kariakoo, Dar es Salaam.

01/11/2023

MASHINE YA KUOSHEA GARI.

Hii ni mashine inayotoa maji kwa pressure ili kuweza kuosha gari lako au kwa matumizi mengine ya Usafi.

Ipo Kamili na Vifaa vyote, ni 9980VF.

Bei yake ni 130,000 Tsh Tu.

K**a Upo mkoani au Dar, Utaletewa mpaka ulipo Bure kabisa.

Piga simu Au WhatsApp- 0763445454

Ukiwa na Kifaa cha (EMK) hutateseka tena na Mbu na kazi yako itakuwa ni kufurahi tu unaposikia sauti ya mbu anaponaswa n...
09/10/2023

Ukiwa na Kifaa cha (EMK) hutateseka tena na Mbu na kazi yako itakuwa ni kufurahi tu unaposikia sauti ya mbu anaponaswa na umeme huku unaendelea na usingizi wako mnono.

Kifaa hichi kinatumia umeme mdogo sana, na kinafanya kazi vizuri wakati wa usiku kukiwa na giza. Ndani ya muda mchache kina uwezo wa kuwavuta mbu au nzi wote walioko chumbani kwako kutokana na mwanga unaotoa na kuwaua wote.

Kifaa cha (EMK) Bei yake halisi ni 35,000 Tsh.
Ila nimeamua kuwapendelea watu 10 wa mwanzo watakaokuwa wanakihitaji, wao watakipata kwa 26,000 Tsh TU.

K**a unataka kuepukana na Usumbufu wa Mbu bila kutumia gharama kubwa nitumie ujumbe WhatsApp au nipigie kwa namba hii hapa chini ili nikupe namba ya kulipia πŸ‘‡.

WhatsApp/call 0763-445-454.

02/10/2023

Na Jua Hili kali lazima uwe mjanja Mwanangu.

Hii ni Air Conditioner (AC) ya kishkaji sana.

Haili Umeme kabisa halafu Kinapuliza kinoma yani.

Unaweka maji ya barafu kwenye Tank yake kisha kinachobaki ni kula Baridi Tu.

Aisee Joto Kali sana, njoo nikupatie hiki kifaa kwa 80,000 Tsh Tu.

Nina Uhakika kuwa MBU si mgeni kwako. Bila shaka, unateseka na mbu kila siku.Mateso ya MBU si tu kwasababu ya kuuma kwao...
30/09/2023

Nina Uhakika kuwa MBU si mgeni kwako. Bila shaka, unateseka na mbu kila siku.

Mateso ya MBU si tu kwasababu ya kuuma kwao na maradhi ambayo wanayasababisha kwetu, ni wazi kuwa tunateseka zaidi kwenye namna ya KUWADHIBITI.

Vuta picha unavyoteseka ukiwa:

1. Unapuliza -Dawa ya mbu- inayouzwa ghali sana na yenye harufu kali ambayo ina kemikali zenye madhara makubwa zaidi kwako, wakati mwengine unashindwa kabisa kubaki eneo ulilopuliza dawa hiyo. (Dawa ya mbu ina uwezo wa kuathiri Afya ya mapafu yako, pia muda unavyozudu kusonga. Unaweza ukafa)

2. Unahangaika kujaribu kuwaua mbu kutumia mikono yako, unapombanja damu inakuenea kwenye mikono yako. Je unajua mbu huyo amefyonza damu za watu gani?
Najua kuna mida ulikula bila kunawa.

3. Unafukuza mbu ili uwaue kwa kutumia mashine za kuulia mbu, unapoteza muda wako na nguvu zako kufanya kazi hiyo.

4. Mwisho unaamua kulala na chandarua ambacho mwisho kinabaki kupitisha mbu, kinakutia joto na kero yake haielezeki.

Kwanini upitie mateso yoye haya??

Usijali, huu ni muda wa kuepukana kabisa na mateso hayo.

Kifaa cha ELECTRIC MOSQUITO KILLER (EMK) kimeundwa maalumu kwa ajili ya kuwavutia mbu na nzi kupitia mwangaza mzuri unaotoa, na iwapo mbu atakisogelea tu kifaa hicho, atanaswa hapo hapo na kuuwawa.

Ukiwa na Kifaa cha (EMK) hutateseka tena na Mbu na kazi yako itakuwa ni kufurahi tu unaposikia sauti ya mbu anaponaswa na umeme huku unaendelea na usingizi wako mnono.

Kifaa hichi kinatumia umeme mdogo sana, na kinafanya kazi vizuri wakati wa usiku kukiwa na giza. Ndani ya muda mchache kina uwezo wa kuwavuta mbu au nzi wote walioko chumbani kwako na kuwaua wote.

Kifaa cha (EMK) Bei yake halisi ni 35,000 Tsh.

Ila nimeamua kuwapendelea watu 10 wa mwanzo watakaokuwa wanakihitaji, wao watakipata kwa 26,000 Tsh TU.

K**a unataka kuepukana na Usumbufu wa Mbu bila kutumia gharama kubwa nitumie ujumbe WhatsApp au nipigie kwa namba hii hapa chini ili nikupe namba ya kulipia πŸ‘‡.

WhatsApp/call 0763-445-454.

Wiki kadhaa zilizopita nilipokea malalamiko kadhaa kutoka kwa vijana mbalimbali wanaohangaika kurefusha mashine zao, au ...
29/09/2023

Wiki kadhaa zilizopita nilipokea malalamiko kadhaa kutoka kwa vijana mbalimbali wanaohangaika kurefusha mashine zao, au kwa lugha nyengine "VIBAMIA".

Wengi wao walisikitika kuwa wametumia vidonge na dawa mbali mbali na wameahidiwa kuwa dawa hizo zingewasaidia kukuza mashine zao, ila haikuwa k**a walivyotarajia.

Huenda ikawa wewe ni mmoja wapo, ama pia unapitia Changamoto hiyo hiyo.

Ngoja nikwambie uhalisia ambao haukuwa unautambua:

Kuna mamia ya dawa za "Kuongeza Ukubwa wa MASHINE" sokoni na hakuna hata moja kati ya hizo dawa inayofanya kazi.

K**a zingefanya kazi, ungeshuhudia kuwa makampuni makubwa ya dawa yangeweza kuzalisha kwa wingi dawa hizo k**a p**i na kujipatia utajiri.

Nina Uhakika uliwahi kusikia kwamba kuna njia mbalimbali k**a upasuaji ili kuweza kukuza uume wako, ila ngoja nikwambie uhalisia, njia hiyo haifanyi kazi na kikubwa zaidi unaweza kupoteza kabisa uwezo wako wa KUDINDA.

Kwa bahati nzuri kwako kijana, nimeutumia muda mwingi kufanya utafiti na majaribio katika njia mbalimbali za kukuza uume kwa njia ya asili, na naweza kusema kutokana na uzoefu kwamba UNAWEZA KABISA KUONGEZA UKUBWA WA MASHINE YAKO.

Nimeandika Muongozo Kamili ya Njia pekee ambayo unaweza kuitumia Kukuza Mashine yako kwa 1 inches na zaidi kwa muda wa chini ya miezi 6.

Ningeweza kukuandikia kila kitu hapa, ila kutokana na kuwepo kwa picha nyeti, imebidi niweke mwongozo wote kwenye mfumo wa kitabu (pdf), chenye jina la "UJITI".

Ndani ya Kitabu Cha "UJITI" utaenda kujifunza yafuatayo:

1. Njia pekee zitakayokuwezesha kurefusha na kutanua ukubwa wa mashine yako ndani ya muda mfupi (pamoja na maelezo ya picha)
2. Njia maarufu wanayoitumia waarabu wa mashariki ya kati kurefusha mashine zao.

Kitabu cha "UJITI" kina thamani ya 39,999 Tsh kikishaingia Sokoni rasmi.

Ila leo utakipata kwa 4,999 Tsh TU. (Utakuwa umeokoa 35,000 Tsh ukikipata leo)

Pia bei hiyo inakuja na Bonus zifuatazo:

1. Uwanja wa kuniuliza na kukupa ushauri wowote kuhusu Afya ya mwanaume muda wowote Bure.
2. Kitabu kimoja cha ziada cha jinsi ya **** nitakuelezea zaidi baadae ili kulinda heshima ya hili jukwaa.
3. Siri ya Shilajit, Bure kabisa. (Haya ni madini ya Ajabu ambayo yatakutofautisha na wanaume wengine) nitakupa maelezo zaidi baada ya kupata kitabu chako.

Ili kupata kitabu cha "UJITI" pamoja na hizo Bonus, Bonya button ya "WhatsApp" hapo chini kulia uje moja kwa moja kwangu nikupe namba ya kulipia.

Hiki Ndo Kifaa Pekee Unachohitaji Kuweza Kuburudika k**a Upo CINEMA.Hii ni PROJECTOR: Kifaa Ambacho kina Mulika Mwanga U...
04/09/2023

Hiki Ndo Kifaa Pekee Unachohitaji Kuweza Kuburudika k**a Upo CINEMA.

Hii ni PROJECTOR: Kifaa Ambacho kina Mulika Mwanga Ukutani na kuonesha Video kwa Picha Kubwa.

JE, Projector inatumika Vipi?
Projectot zina matumizi mbalimbali k**a vile kuangalia Cinema, michezo, MPIRA, maonyesho, elimu na Zaidi.

Unaweza kuunganisha Projector na nyenzo nyengine k**a vile Simu, Flash, Computer zenye maudhui flani, kisha projector itachukua maudhui hayo na kuyaonyesha kwa ukubwa mkubwa kwenye skrini au ukuta.

Je, katika set ya Projector kunakuwa na vitu gani?
Set inakuja na:

1. Projector machine yenyewe
2. Cable ya kuunganisha kwenye switch ya umeme.
3. Remote controller.
4. Kitabu cha maelekezo.

Je, Projector Hii inapatikana kwa Tsh ngapi?
Projector hii utaipata sasahivi kwa Tsh 180,000 Tu kutokana na kuwa zimebaki sets 2. (Bei yake Halisi ni Tsh 230,000).

Pia Bei Hiyo inakuja na Bonus Zifuatazo ambazo utazipata BURE kabisa!!

β€’ Flash ya 8GB Yenye movies kali za 2023.
β€’ Battery Original za kutumia kwa ajili ya remote.
β€’ Wire ambazo utaweza kuunganisha na DVD yako.
β€’ Utaletewa Mpaka Ulipo BURE kabisa.

Bonya hapo chini Kulia kwenye " WhatsApp " ikulete kwangu moja kwa moja nikupe maelekezo ya jinsi ya Kulipia na kuipata Projector Yako.

Kwanini ugharamike kwenda cinema kuburudika wakati upo uwezekano wa kuipata burudani hiyo kupitia ukuta wako tu wa chumb...
02/09/2023

Kwanini ugharamike kwenda cinema kuburudika wakati upo uwezekano wa kuipata burudani hiyo kupitia ukuta wako tu wa chumbani?

Kwanini umalize pesa zako zote kununua TV ya inch 4 inayokula umeme wakati una uwezo wa kumiliki TV ya inch zaidi ya 10 kwa bei ndogo sana na Isiyokula umeme pia yenye uwezo wa kuhamishika popote?

Najua unajiuliza inawezekanaje?… Ondoa Shaka!.

Yote hayo yanawezekana kwa kuwa na Kifaa kinachoitwa projector.

Hiki ndo kifaa pekee ambacho kitakupa burudani na vibe la Cinema ukiwa chumbani ama nyumbani kwako, na cha ajabu.. Unachotakiwa kuwa nacho ni ukuta tu.

Nina Uhakika Chumba chako hakijajengwa na Nyasi au makuti πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivyo, K**a una ukuta na ungetamani kupata vibe la sinema Au kuwa na TV ya zaidi ya inch 10 nyumbani...

Basi Bonya β€œ learn more β€œ hapo chini kulia kufahamu kiufupi Projector ni nini, inafanyaje kazi na jinsi ya kuipata….

Je, ungetamani kupata burudani ya Sinema na familia yako nyumbani bila kutumia gharama kubwa?Fikiria kujitumbukiza katik...
28/08/2023

Je, ungetamani kupata burudani ya Sinema na familia yako nyumbani bila kutumia gharama kubwa?
Fikiria kujitumbukiza katika sinema yenye picha kubwa za kuvutia, k**a vile kuwa kwenye uwanja wa mpira wakati unavyoshuhudia mechi timu tako ikicheza na timu pinzani.
Ama kutazama katuni na michezo mbali mbali k**a upo sinema.
Kwa Kutumia projector kunakuletea uhalisia na hisia ambazo haziwezi kupatikana kwa kutumia TV ama skrini ndogo.

Bonya kwenye " learn more " hapo chini kulia Kufahamu zaidi.

19/08/2023

LED headLight Bulbs. Taa za mbele za Gari za mwanga mkali sana.

K**a ushawahi kupishana na magari yanayomulika kinoma basi ni taa hizi zinazotumika.

Ni muhimu sana kuwa nazo hizi mjini, lasivyo utakumbana na Ajali nyingi.

Bei yake halisi ni 200,000 ila nitakupatia kwa 150,000 tu pamoja na kufungiwa bure kabisa.

Tupo lmumba na mkunguni, Call or whatsapp 0763445454.

125ml Aroma Diffuser with led lights.Ina Battery, unatumia hata k**a hakuna Umeme.Fast delivery ( 1-1.5 weeks) 55,0001 m...
25/03/2023

125ml Aroma Diffuser with led lights.

Ina Battery, unatumia hata k**a hakuna Umeme.

Fast delivery ( 1-1.5 weeks) 55,000
1 month Delivery 45,000.

22/03/2023

Hiki Ndio KIFAA Pekee Unachohitaji Ili Chumba/Ofisi/Gari Yako kuwa na Hewa Laini na Yenye Harufu Nzuri Muda Wote.

Diffuser/Humidifier - Kifaa Kinachotoa Mvuke Baridi Ili Kuongeza Unyevu na Harufu Nzuri kwenye Hewa.

Bonya Kitufe Cha WhatsApp Uje Inbox Nikupe Maelekezo Ya Jinsi Ya Kukitumia Na Kufurahia Hewa Laini Na Tamu Muda Wote.

Maumivu ya Goti na Kifundo cha mguu yanaweza kuwa CHANGAMOTO kubwa kwa watu wengi.Na mara nyingi hutokana na ukosefu wa ...
24/02/2023

Maumivu ya Goti na Kifundo cha mguu yanaweza kuwa CHANGAMOTO kubwa kwa watu wengi.

Na mara nyingi hutokana na ukosefu wa ujuzi wa jinsi ya kutunza vizuri viungo hivi muhimu.

Lakini usikate tamaa - kuna SULUHISHO.

Kwa kujifunza kuhusu MBINU bora za afya ya pamoja na kuzijumuisha katika utaratibu wako wa kila siku, unaweza KUPUNGUZA hatari yako ya kupata maumivu ya goti na kifundo cha mguu, na kuboresha ubora wako wa maisha kwa ujumla.

Hivyo kwa nini Usubiri?

Anza kuchukua hatua leo na sema KWAHERI kwa maumivu ya viungo.

Bila kupoteza muda Bonya button ya "Learn More" hapo chini Kulia kwenda kupata suluhisho.

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 09:30 - 18:30
Tuesday 09:30 - 18:30
Wednesday 09:30 - 18:30
Thursday 09:30 - 18:30
Friday 10:00 - 11:45
14:15 - 18:00
Saturday 11:00 - 18:15
Sunday 11:15 - 12:45

Telephone

+255763445454

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Feyn.co posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Feyn.co:

Share